Recent content by kiafue kiadoni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara Arusha, atatua kero na kugawa pikipiki

    Namba moja: kugawa bodaboda kwa vijana namba mbili: kukandamiza demokrasia nchini namba tatu: kuhakikisha kwamba matajiri wanaishi kama mashetwani namba nne kutumbua majipu namba tano: kusitisha nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara Arusha, atatua kero na kugawa pikipiki

    Watu wengine bana ina maana swali halijaeleweka au? Kila kitu mnaleta ubishi wa kisiasa tu. Nyie mijisisiem vipi. Chezeni na hoja sio kuleta ubishi wa kijinga hapa. Suala hapa sio kusimanga pikipiki za mchina ila kipaumbele kipi muhimu? Maji vijijini au bodaboda kwa vijana?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Hivi tuseme tu ukweli. Ingekuwa ni wewe hao maafisa ardhi wameku zulumu ungejisiaje? Nyie mnaona matusi badala ya kuangalia chanzo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

    Lipumba alipojitoa cuf alitangazia uma, dr slaa nae, sumaye n.k. Sasa kujitoa kwenye dini/dhehebu nayo inahitaji matangazo? Shiiiiit!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya CRDB kusitisha kutoa mikopo, NMB waanza kufuata nyayo!!

    Lakini sio cha kulalamikia hapo maana ni sisi wenyewe tukiamua
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dangote ni tajiri zaidi ya Trump, Abramovich na Oprah kwa pamoja

    Jamaa anafanyia dangote cement
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Prof Ndalichako

    Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Extended family ni sheeeedah
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tigo ni wezi sana...

    Tigo naona ndo too much! Kwa mfano ukijiunga na kifurushi cha mwezi cha fb na whatsapp unatumia siku moja au 2 tu unashangaa kimeisha. Haya makamouni yamekaa kiwizi wizi sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

    Lakini ubishi wako utakufikisha mahala ambapo sipo. Enzi za Lutu na Nuhu Mungu alionyesha mpambano kwa mwanadamu lakini baadae akasema sitabishana na mwanadamu tena. Rejea maandiko Mwanzo 6:3. Na hapo ndipo aliposema umri huyu mwanadamu utakuwa miaka 120 badala ya ile ya wakati wa akina Nuhu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na huu ushauri unawahusu CHADEMA, ni muhimu

    Jamani, hivi nchi haiwezi kuendeshwa bila siasa watu wakapiga mzigo (kazi) tu? Maana siasa zitatufikisha pabaya! Ni mawazo yangu tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Barmedi kanipenda, kutokana na kazi yake naona aibu kuwa naye. Nifanyaje?

    Kwa hiyo mkuu umeoa au la? Angalia hawa watu ni viumbe hatari sana! Take care mkuu maana yalishanikuta na mimi. Kumbuka mshahara wao ni kiduchu sana lakini anakununulia kinywaji! Hapo lazima hela anazipata kwa watu kama wewe na ujue hapo kwako anawekeza tu maana keshakuona mbulula
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatutakubali serikali yetu kuaibishwa na wanasheria wasiojua sheria kama hawa

    Kuna rafiki yangu alinichekesha kwa kuniambia eti wale waliokuwa vilaza darasani ambao ni watoto wa vigogo ndio huajiriwa na serikali hivyo hawawezi kushinda kesi hata moja
Back
Top Bottom