1. Kuna njia ya kwanza unafungua Control panel> the click Administrative Tools > then click Services> then rightclick Background Intelligent Transfer Service (Utaona option mbalimbali, click STOP), unakuwa umemaliza.
2. Njia ya pili, kwenye start menu ya pc yako (kama unatumia pc) itafute Resource Monitor (sina hakika kama kwenye windows nyingine ipo maana mi natumia windows 10), then nenda kwenye menu ya Network na urightclick svchost.exe (network service), then bonyeza End process kama nilivyokuwekea kwenye screenshot, unakuwa umemaliza.