Nimekutana na huu ushauri unawahusu CHADEMA, ni muhimu

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,932
32,337
Wanaukumbi.

Kama nilivyoipokea sijapunguza kitu wala kuongeza kitu makamanda.
Screenshot_2016-09-05-23-47-31-1.png

Screenshot_2016-09-05-23-48-32-1.png
 
Hayo ni mawazo yake ...tuyapuuze tu ...kwnn hukuishauri ccm wakati ina haha kutafuta bl 4 au ulikuwa bado huja zaliwa ?
 
Wapo watanzania wa billion TSh ni visenti vya mboga wako tayari kumpa hizo hela kwa masharti kuwa aachane na siasa za uanaharakati.
 
Kama mngekuwa pia mnamshauri baba Jesca aziache mamlaka alizoziweka kisheria ziwe huru katika utendaji, leo hii mizigo ingekuwa imejaa bandarini na hivyo kuharakisha safari yetu ya kuifikia Tanzania ya viwanda. Lakini mmeamua kumwachia yeye aamue kila jambo la kiutendaji kwenye wizara na idara za serikali na hivyo kujikuta mnafeli kwenye kila jambo. Ni vema kama mtajitathmini upya.
 
Kama mngekuwa pia mnamshauri baba Jesca aziache mamlaka alizoziweka kisheria ziwe huru katika utendaji, leo hii mizigo ingekuwa imejaa bandarini na hivyo kuharakisha safari yetu ya kuifikia Tanzania ya viwanda. Lakini mmeamua kumwachia yeye aamue kila jambo la kiutendaji kwenye wizara na idara za serikali na hivyo kujikuta mnafeli kwenye kila jambo. Ni vema kama mtajitathmini upya.
Jikite kwenye mada mambo ya baba jesca yanakujaje, yani sisi watanzania ni wa hovyo hovyo sana hapa tunaongelea kumchangia mwenyekiti wewe unaingizia na hisia zako zingne.

Mwenyekiti CCM JF
 
Personality na mtu na chama ni vitu viwili tofauti kabsa swala la mbowe na siasa ni vitu vyingine kma kingedaiwa chama hapo sawa ila sio chama bali ni yeye hlf ushaur kma huo usitupe ss mpe rais mshauri kuwa hali ya nchi ni mbaya mzunguko wa pesa hamna.Bidhaa bei juu kila siku maskin wa chini anaumia wafanya biashara ndo wamefungia pesa wengi hawan ushirikiano na nchi. unasema vijana hatufanyi kazi wakaz pesa hazipo. unaenda kwa bosi anakuambia biashara haiuzi price juu demand chini pesa ma benk hakuna naomba nikupunguzie mshahara ili na mm mipate faida. vibalua ndo kbsa unaenda kwa fundi ujenz anakuambia mdgo wangu kazi za shida watu hawana pesa dogo nitakushtua. week nzima. ss tufanye kz gani sasa?
 
huyo jamaa alietoa post hana akili =
biashara za mtu na siasa wapi na wapi.....mbowe hakomoleki kamwe,waende wakatoe vitu na kwenye biashara zake za nchi za nje bas.....wanafikiri mbowe anategmea billcanas na tz daima,....imekula kwao
 
Mbona chama chenu wakati kinahaha kupata bilioni 4 za kugharamia mkutano mkuu wa chama chenu hamkuhamasishana kuchangia?

Charity begins at home.
Mkuu kwanza huyo lukosi tangu lini akawa na ushauri kwa cdm? Ni uzandiki mtupu
 
Back
Top Bottom