Recent content by khusbakty

  1. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

    sijui kitu
  2. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume

    mimi muislamu utakubari kubadir dini?
  3. khusbakty

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    akija naenda act
  4. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Magufuli atema cheche katika Hotuba ya kwanza - July 12, 2105 mjini Dodoma

    ndipo mnapokosea mnafanya km nchi ya mama yenu
  5. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Jk ahofia kutangaza matokeo, amkabidhi Makinda.

    Ukumbi mzima ukicheka kwani alikua wakala wa nani huyu anti jei
  6. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    nimeyaona sabasaba lindi upande wa kulia mnazimmoja mtama na nyangao kwanza mi nashangaa si angeenda kuandika kwenye nyumba za CCM WENZIE!!!!!!??
  7. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

    asilimia kubwa mada za jamii f ni mipasho na udaku hazinaga ukweli
  8. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Ndugu yetu Bernard Membe yuko wapi, anawaza au amejipangaje saa hizi?

    ni jimbo alimuahidi atampa nape sasa sijui ataghairi?
  9. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Ukawa hawana hata robo ya kumng'oa magufuli

    kama huna mia mbili piga mbizi
  10. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

    nakuunga mkono mguu na kichwa kila siku nilikua namuomba aseme ukweli ye hataki haya yamemkuta hata akienda ACT km atakua domo zege juu ya richmond hata udiwani hapati tutamkata tu
  11. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji atangaza kuachia jimbo la Singida Mjini rasmi!

    sidhani km ccm kuna mtu wa namna hiyo
  12. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa apewa uchifu wa Dar kuikomboa Tanzania

    walishazoea kuletwa na jakaya wanajua wanachopewa sasa kwakua kakosa bahasha ya leo inamkereketa
  13. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    mapenzi yamegeuka elimu huyu masters yule diploma au chety hivi mmesahau kuna PHD zingine mashoga? tafuteni mashababi hata akiokota vyupa poa mbona jioni tunatoka chicha wote cocobeach na usiku PHD zetu za viuno zinaburudisha vya kutosha khaaaaa alafu awe dini flani ili iweje mbona una mwaka...
  14. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Mhe. Lissu, 2015 imefika

    duh watu wengine vilazaaaaaaaaaaaaaaaa
  15. khusbakty

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    mimi nimkumbushe tu bro kua huyo madabida ana kimavi asipoangalia atamdondosha kweli uchaguzi ulioputa alishindwa ubunge kilwa kwa maneno yake ya jeuri kwa wanakilwa leo kwa dini yetu haya ngoja tuone
Back
Top Bottom