Nahitaji mume

Nahitaji mume

Hivi mme anatafutwa kama chumba cha kupangisha? Thubutu,kwa namna hiyo dada humpati mtu. Kwanza miaka 29 yote hiyo. Lohhh
 
Naombeni kujuzwa mbinu za kuwa mrefu mana'ke naishia kuitwa shemeji sasa
 
Ndoa ya kiisilamu kesho tukutane msikitini ila duh wewe kuacha kale kambuzi huwezi nimekumbuka byeeeee!!!
 
nadhani tangazo lako limepungua na vigezo . kama kabila aneotoka ,sehemu anokoenshi , afya yake na vingi ulizo zisahau kuzitaja....
Naona wewe nimgeni hapa JF bora utulie kidogo usome JF hapa hapa kuna vituku mbali mbali
 
We umri ushaenda hivo lkn bado unaweza conditions? Itafka muda utatafuta VILEMA hata hutapata. Binafsi watu kama hawa nawaogopa kama UKOMA
 
We umri ushaenda hivo lkn bado unaweza conditions? Itafka muda utatafuta VILEMA hata hutapata. Binafsi watu kama hawa nawaogopa kama UKOMA
 
Machweo sambamba na masharti sijui wa 18 up 23 masharti yao yatakuwaje mana ww bibi tu unatutisha harafu ulikuwaga wapi mpaka unafika apo??
 
Em mtaje kabisa jina lake, maana hizi specification inaelekea unamjua kabisa unayemtafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom