Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

kwa uzoefu wangu, wanawake wa kukutana nao mtandaoni ni tatizo au majanga, wa kukutana kwa basi au daladala at least, mnakaa mtaa mmoja angalau, mnasoma shule moja at least mnafahamiana tabia, mnasali pamoja ni nzuri zaidi, mmekutana bar majanga pia.
Sasa sijui inakuwaje?? ina maana kote huko darasani, kanisani hujapata friends au unataka wa nyongeza??
shuleni hatuendi kutafuta wapenzi,wala kanisani c mahali pa kutongozana ni mahali pa elimu na ibada
 
mapenzi yamegeuka elimu huyu masters yule diploma au chety hivi mmesahau kuna PHD zingine mashoga? tafuteni mashababi hata akiokota vyupa poa mbona jioni tunatoka chicha wote cocobeach na usiku PHD zetu za viuno zinaburudisha vya kutosha khaaaaa
alafu awe dini flani ili iweje mbona una mwaka kanisani au msikitini unatafutwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom