Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
Nakumbuka mwaka 2011 katika maadhimisho ya miaka 50 ya chuo kikuu cha dsm ndipo nilimuona kwenye msafara wa wageni waalikwa wakiingia ukumbi wa Nkuruma. Aliyeongoza msafara alikuwa Jakaya M. Kikwete, Kkaguta Mseven, EL na wengineo.
Hakika sikuwa najua lolote zaidi ya kufahamu alikuwa ni waziri.
Alikuwa ni mtulivu na siku hiyo alikuwa nyuma nyuma ya msafara. Na nilijikuta nimemshangaa kwani alikuwa na movement moja ambayo sio ya kawaida. Maana alikuwa amevaa Travolta halafu katika kutembea alikuwa kama anatengeneza matege fulani hivi na mkono mmoja ulikua mfukoni.
Kwa waliowahi kuangalia prison break ningeweza kumfananisha kabisa na 'Mahone' kwa jinsi alivobehave kwa muda ule.
Hakika alikuwa tofauti na wengine wote kwenye msafara ule. Na haraka intelligence yangu ikaniambia hakuwa mtu wa kawaida.
Tangu nifahamu hayo na Habari nyingi kumuhusu. Niligundua kwamba Bernard Membe yawezekana ndiye mafioso namba moja na hatari kumzidi hata Phillip Mangula.
Na japo mimi sio mwana CCM wala mshabiki wa siasa nilijua fika wakati akichukua form kugombea urais CCM hakukuwa na mtu wa kumuambia chochote wala kumzuia kwa namna yoyote wala kumtisha.
La bahati mbaya sana Bernard Membe hakuwa na support wala hakujichimbia mizizi kwenye Baraza kuu la CCM (NEC) na hivo kuwa kati ya wale waliokatwa tano bora.
Kilichonileta mbele ya jukwaa hili ni ukimya ambao amekuwa nao Bernard Membe yapata mwezi mmoja tangu akatwe kwenye tano bora.
Ki ukweli kabisa kimya hiki kwa mtu wa kariba ya Bernard Membe hakika kinaogopesha kama si kwa CCM basi ni kwa upinzani.
Kwa mtu kama Membe am positive kwamba there might be a mission going on under the tunnel. Period.
Sio kwa kususa huku.?