Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu, 2015 imefika

Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.

Wewe si mwanachama wa CDM chama hakijawahi kuwa na mwanachama kama wewe mwenye mawazo mgando.
 
Litmas paper yangu ni matokeo ya serikali za mitaa na vijiji 2014
 
wakati wabunge wa upinzani wakileta vurugu bungeni kumzuia waziri w nishati na madini, Simbachawene alipokuwa akisoma muswada w mfut na gesi nilimsikia mbunge wangu Tundu Lisu akilopoka huku akisema namnukuu "kamwambieni Obama hatutaki gesi yetu" kwanza kabisa nilishangaa kwa mbunge wangu huyu ambaye kitaaluma ni mwanasheria na wakili maarufu hapa nchini kuvunj taratibu za bunge kwa kuropoka na kuzomea kiasi cha kumfanya spika ashindwe kufanya kazai yake na kuahirisha bunge.

nikawa najiuliza zaidi na zaidi kuwa je wana singida mashariki na ikungi kwa ujumla je tulikosea kumchagua Lissu? maana muda mwingi Lissu amekuwa akipenda kuendesha malumbano ndani ya bunge na miongozo ambayo haina maslahi na wana ikungi,

ikiwa mbunge wangu Lissu anauchungu na rasilimali za nchi mbona huna uchungu na posho na kiinua mgongo ambacho mmepandishiwa kutoka milioni 94 mpaka milioni 230, mbona hatukusikii kulaani mamilioni hayo ya kiinua mgongo kama kweli una uzalendo wa kupinga ufisadi?

Lissu mbunge wangu kama unauchungu na rasilimali za wsatanzania vipi mabilioni ya ruzuku yz chadema au sio kodi ya watanzania ambayo tumewahi kusikia wakubwa wakikopeshana na kuyatafuna rejea ripoyti ya CAG

Lissu mbunge wangu tukiangalia miaka mitano hii hakuna chocjote cha maana alichofanya hususani hapa ikungi, maji shida, barabara ndio usiseme alitushawishi kugoma kuchangia maabara sasa tunajuata shule za jimboni kwetu hazina maabara kama wenzetu leo tunajuata kwanini tulimsikikliza.

Pia mbunge wangu Lissu mbona umeshindwa kujibu hoja ya matumizi mabovu ya mfuko wa jimbo ambayo yalitolewa na mbunge mwenzio tena wa huku huku singida kuwa unatafuna bila huruma mfuko wa jimbo.

Mwisho kabisa tunasikitika kuwa na mbunge wa aina ya Lissu ambayo miaka mitano imepita hakuna cha maana kilichofanyika huku jiomboni kwake amekuwa mbunge wa malumbano badala kutuletea maendelea wananchi waje lakini siyo mbaya kwa kuwa mbio za sakafuni huishia ukingoni nawe umefika ukingoni tutakutana october
 
Hata mwaka 2010 hukumchgua kwa hiyo kutomchagua tena mwaka 2015 ni hiari yako
 
Unaotaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa au ni bangi hebu nipe matokeo uchaguzi serikari za mitaa na vijiji huko ikungi.

Unajua mda mwingine tusifanye vitu tukiwa tumeadd baadhi ya material mwilini. Bangi zinakusumbua na ndio maana hujui matatizo ya watz
 
anashidwa kumwambia SLAA hela alizopewa kwa siri na wafadhili wake ni za nini ,asione wamekaa kimia akazani ni wajinga ,subili kuche ndo atajua
 
wakati wabunge wa upinzani wakileta vurugu bungeni kumzuia waziri w nishati na madini, Simbachawene alipokuwa akisoma muswada w mfut na gesi nilimsikia mbunge wangu Tundu Lisu akilopoka huku akisema namnukuu "kamwambieni Obama hatutaki gesi yetu" kwanza kabisa nilishangaa kwa mbunge wangu huyu ambaye kitaaluma ni mwanasheria na wakili maarufu hapa nchini kuvunj taratibu za bunge kwa kuropoka na kuzomea kiasi cha kumfanya spika ashindwe kufanya kazai yake na kuahirisha bunge.

nikawa najiuliza zaidi na zaidi kuwa je wana singida mashariki na ikungi kwa ujumla je tulikosea kumchagua Lissu? maana muda mwingi Lissu amekuwa akipenda kuendesha malumbano ndani ya bunge na miongozo ambayo haina maslahi na wana ikungi,

ikiwa mbunge wangu Lissu anauchungu na rasilimali za nchi mbona huna uchungu na posho na kiinua mgongo ambacho mmepandishiwa kutoka milioni 94 mpaka milioni 230, mbona hatukusikii kulaani mamilioni hayo ya kiinua mgongo kama kweli una uzalendo wa kupinga ufisadi?

Lissu mbunge wangu kama unauchungu na rasilimali za wsatanzania vipi mabilioni ya ruzuku yz chadema au sio kodi ya watanzania ambayo tumewahi kusikia wakubwa wakikopeshana na kuyatafuna rejea ripoyti ya CAG

Lissu mbunge wangu tukiangalia miaka mitano hii hakuna chocjote cha maana alichofanya hususani hapa ikungi, maji shida, barabara ndio usiseme alitushawishi kugoma kuchangia maabara sasa tunajuata shule za jimboni kwetu hazina maabara kama wenzetu leo tunajuata kwanini tulimsikikliza.

Pia mbunge wangu Lissu mbona umeshindwa kujibu hoja ya matumizi mabovu ya mfuko wa jimbo ambayo yalitolewa na mbunge mwenzio tena wa huku huku singida kuwa unatafuna bila huruma mfuko wa jimbo.

Mwisho kabisa tunasikitika kuwa na mbunge wa aina ya Lissu ambayo miaka mitano imepita hakuna cha maana kilichofanyika huku jiomboni kwake amekuwa mbunge wa malumbano badala kutuletea maendelea wananchi waje lakini siyo mbaya kwa kuwa mbio za sakafuni huishia ukingoni nawe umefika ukingoni tutakutana october

Hata kama kwenu ni Ikungi inaonyesha hujawahi hata kumpigia kura huyo Lisu.Kafilie mbali na hicho kikura chako kimoja.Ss tunaomku bali axha tuendelee naye.Lissu viva.una 100 0/0kurudi bungeni.
 
kitajulikana oct wakati atakapo ulizwa slaa hela Alizopewa na makapuni ya uingereza na india pamoja na ndege 4 zitakazo tumika kwenye kampain ndo kitaeleweka ,si upinzani wanaona ccm wameka kimia anazani ni wajinga ,watu wana kila taarifa wanasubili wakati mwafaka yeye analopoka mapema na kumpa mbinu adui wake,bado mchanga LISSU
 
Hata kama kwenu ni Ikungi inaonyesha hujawahi hata kumpigia kura huyo Lisu.Kafilie mbali na hicho kikura chako kimoja.Ss tunaomku bali axha tuendelee naye.Lissu viva.una 100 0/0kurudi bungeni.

hayo ni maneno ya mfa maji kama yeye anapinga ufisadi na mzalendo mbona hapingi milioni 230 na ufisadi wa ndani ya chama cdm
 
Hata mwaka 2010 hukumchgua kwa hiyo kutomchagua tena mwaka 2015 ni hiari yako

ungejua tunavyojutia kura zetu wala usingesema tulimchagua Lissu kwa sababu ya aliyekuwa mnwenyekiti wa cdm singida na sasa keshasepa mambo yote ACT wazalendo Lissu ataisoma namba october
 
hayo ni maneno ya mfa maji kama yeye anapinga ufisadi na mzalendo mbona hapingi milioni 230 na ufisadi wa ndani ya chama cdm
Kwa ufisadi aliouzuia, alipaswa kutafuna mara 5 ya izo.
 
Wewe si mwanachama wa CDM chama hakijawahi kuwa na mwanachama kama wewe mwenye mawazo mgando.

hilo ndio tatizo lenu na maneno yenu kila siku hata chacha wangwe mlimwambia hivyo hivyo, wakati wajanja wanatafuna ruzuku nyie mnakunywa viroba tu, tulio majasiri tunahoji unatuona wabaya na hilo ndio tatizo la kuhongwa viroba na ugolo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom