Ni ukosefu wa Imani, ama ni ujinga wa kuchaguwa kwa sababu eti "his rights", jee rights za huyo mnyama au sababu hawezi kuongea? Maana hivi juzi juzi tumeona ndoa baina ya binadamu na mbwa ikibarikiwa na mchungaji tena eti wanasema yule mbwa ndio mwanzo alitaka awe yeye ndio bwana harusi lakini...
Pumba kapi za mpunga, maganda na unga wa mbao, mabuwa ya mahindi au mtama, vifuru vya nazi, anyone of these na ukichanganya na jothra au jina jingine m'bono ndio inakuwa kiboko.
Unahitaji kusindika hivyo vitu kwa kutumia pellet making machine au briquettes making machine. Kama huna hiyo unaweza...
stormryder,
Yes they called wazee wetu wana Afrika SAVAGES na hao Wayahudi unaowasifu wanawafanyia wakimbizi wa Afrika wa Sudan ya Kusini, Ethiopia, Eritrea na Wengineo unyama na ubaguzi na hata kuwapiga sindano za kuwafunga uzazi wale Mayahudi Falasha wa Ethiopia waliowaleta wenyewe na kuwapa...
Mji Mkongwe wa Zanzibar umejaa wa Tanganyika na biashara za vinyago, sanaa za Tingtinga na Batik.
Kariakoo Dar na Mikoani wengi WaZanzibari wenye maduka makubwa ya vitu vya lazima kwa Watanzania kama nguo, vyakula, maji vikiwemo vifaa vya ujenzi, vyombo vya nyumbani na hata magari.
Hebu...
Mzee Rukhsa aliekuja kuwaokoa na kuwaachia huru baada ya kifungo miaka 23 cha utumwa wa Nyerere kasoma Zanzibar na Salim Ahmed Salim aliekuja kuboresha JWTZ as Waziri wa Ulinzi na Baadae Waziri Mkuu amesoma Zanzibar.
Na tayari CCM inamwandaa Urais 2015. Teh teh teh.
Nyinyi kama si Wapemba...
Sychelles haiko katika.Muungano wa Africa Mashariki wala wa Tanganyika, ndio I
nikakujuuulisha kuwa Sychelles ambayo ndogon na haina hata cash crop kama Zanzibar ni tajiri kuliko zote Afrika. Sasa wewe unaelia kuwa Zanzibar ikiwa katika mamlaka yake itarudi ipige magoti kwa Tanganyika manaake...
Kwani wewe Makamee ndio wale waliofungua macho wakawa wameuona huu Muungano tu yaana hata hawakuona macho ya wazee nao enh? Teh teh teh.
Unajuwa kama Sychelles ndio nchi tajiri kuliko zote katika Africa?
Wewe Makame kama mzanzibari kwelu una maslahi yako binafsi usiwe kitatange ukawaingiza wenzio. Lakini kwa hiyo aina ya kejeli unayotoa wewe ni hao tulowazoea hapa akina Pasco na fake Makame ID.
Pasco,
Umenukuu maneno yangu ya paragraph ya mwisho katika post yangu nilomjibu Mchambuaji kwa kulitoa jina la Parameter kwa mantiki gani?
gombesugu, CHAMVIGA
Ulamaa Boko,
Unajuwa hapo Tanganyika kuna vijana wengi wamepata fursa kusoma mpaka kuhitimu vyuo vizuri tu hasa vya Kanisa na kutoka kidedea lakini kuna kitu walicholishwa ambacho hawakijui nacho ni dhana ya dini ya kristo dhidi ya uislam. Na hii imepelekea kusomeshwa historia ya...
Saudi Arabia kuna wakristo wengi ila unajuwa wanaishije?
Uilingnishe Saudia na Zanzibar, unaijuwa demography ya Zanzibar wewe?
Unaona Kanisa la St. Joseph hilo hapo liko katikati ya mji wa Kiislam katika, mji Mkongwe Zanzibar tokea enzi za Sultan.
Saudia wakristo wamejengewa compound...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.