Recent content by Khams

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni Non secular state?

    [emoji106]
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni Non secular state?

    [emoji106]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dada yangu muogope Mungu heshimu mwili wako

    I like it
  4. K

    JamiiForums Tanzania Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

    Muda wote anakua ameyunisha misuli ya kichwa hata akiwa Bar...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, Bikra yako ulitoa ukiwa na umri gani na ukiwa wapi na nani alikutoa?

    Ilikuaje.... Au ulimtega
  6. K

    JamiiForums Tanzania Top 10 saddest songs of all times

    Goodbye - Celine Dion See you again - Wiz Khalifa ft Charlie Puth (Fast and furious 7 dedicated to Paul Walker) You are not alone - Michael Jackson Kifo cha mahaba - Shakila Ukimwona - Diamond Mapenz yanarun dunia - Ali kiba
  7. K

    JamiiForums Tanzania Top 10 saddest songs of all times

    Unahitajika kuwa na ujasiri wa hali ya juu kuuskiliza huu wimbo hadi mwisho bila ya kupata hisia yoyote
  8. K

    JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    A walk to remember
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Ukitaka kuchagua nyimbo unayotaka kwenye website unafanyaje? Mana inafunguka blank hii link ya mwanzo mkuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti ya sumsang origional s5 na clone

    Utatofautishaje samsung galaxy s5 origional na clone?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Nimekuelewa kama bible is just a history book iliyotengenezwa na watu lakini SIO KITABU CHA YESU AU MUNGU.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Hata Qur-an ilianza kwa kuandikwa kwenye miti ka hivyo, ila ilivyokuja ilikua kamili kwa kuwa na sura na mistari. so hakukua na "wataalam" walioweza kubadilisha muundo wa Qur-an na ndio sababu hadi leo ipo kwa lugha moja tu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Hii project ilikua ni ya miaka mingapi? na kama alifanya yeye na mkewe bibi Khadija iliwezekanaje Bibi Khadija akakubali Mtume aoe wake wanne? is it possible kwa mtu kujipangia kero? Au inawezekanaje mwenye project kujigombeza kwa kosa ulilolifanya? i.e alipomgeukia na kumkunjia uso mtu asiyeona...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ni sawa na kuuliza alipata wapi idea ya kukuumba wewe kama ulivyo au alitumia akili gani ya kuumba mbingu na ardhi bila ya kuweka nguzo hata moja.... Simply ni kuwa Qur- an ni muongozo wa maisha wa zama za mtume Muhammad (S.A.W) unaowaeleza watu waishije, i.e ibada zao, ndoa, mirathi, mali n.k...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ukisema "wataalam wakaweka sura na mistari" unamaanisha nini? does it means kuwa bible inakuwa modified kutokana na matakwa ya watu husika? Au ilivyoandikwa mwanzo haikukamilika sawa sawa?
Back
Top Bottom