Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

Sanaaa

Kuna ile nyingine inaitwa sijui Indesent proposal kama sijakosea ni nzuri sana

Kuna nyingine ya Kihindi inaitwa Sajan nzuri sana kama utapata yenye translation ya kiingereza!
Indecent Proposal... wacha kabisa hii makitu.
 
Back
Top Bottom