Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,552
Nilimtumia rafiki yangu hii nyimbo. Alinambia amelazimika kuufuta kwenye play list yake.akiusikiliza anaumia zaidi..Goodbye-celine dion
Nilimtumia rafiki yangu hii nyimbo. Alinambia amelazimika kuufuta kwenye play list yake.akiusikiliza anaumia zaidi..Goodbye-celine dion
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mzee shikamoo jazz wewee
1.Victim--Lucky Dube
2. Missing you--Shaka Khan, Brand, Tamia and Glady Night
3. Jipe moyo -- Frola Mbasha
4. Nitakufaje-- GK
5. Sauti ya Manka-- GK
6. Wakati wa shida-- Twanga Pepeta
7. I don ever wanna see u again-- Uncle Sam
8. Four season of loneliness-- Boyz to Men
9. Kalubandika-- Msondo
10. Resolution --- Aaliyah
Unahitajika kuwa na ujasiri wa hali ya juu kuuskiliza huu wimbo hadi mwisho bila ya kupata hisia yoyoteNilimtumia rafiki yangu hii nyimbo. Alinambia amelazimika kuufuta kwenye play list yake.akiusikiliza anaumia zaidi..
Oh asante kwa kuniweka sawa, nilikusudia kuandika Tupa Tupa,9. Karubandika ni Maquiz Original....yaani hauna hata haibu kutojuwa muziki wa kwenu wa asili?
Nilikuaga nalia sana nikiusikia huu wimbo. Hadi nikapata hisia ni wimbo unafaa kusikilizwa msibani tu. Hata sasa hivi nikiwa nimeshapiga one two one two nikiusikia lazima nitoe choziUnahitajika kuwa na ujasiri wa hali ya juu kuuskiliza huu wimbo hadi mwisho bila ya kupata hisia yoyote
Huu wimbo nilikuaga mtoto ila ulikua unaniliza sana.Mr. Nice mbonaaa umeniacha umeniacha na nani mama hebu rudi nikuoneee mara ya mwishoo