Asante umeupata ujumbe Wangu na umekuingia vizuri...mrejesho wako ni dhahiri kwenye hili...punguza jaziba na mhemko tafakari polepole nna uhakika kuna kitu kinaweza kukufaa...kutekeleza ni kazi nyingine...muombe Mungu kwa imani yako abariki nia njema ya chochote kizuri katika hili
germve himself
kwendraaaaaaaa ndio nadanga kwahyo utanisaidia non weeeeeeee kila MTU anaishi atakavyoooo judge in Mungu tu we nan kakojoe ukalaleeeeAsante umeupata ujumbe Wangu na umekuingia vizuri...mrejesho wako ni dhahiri kwenye hili...punguza jaziba na mhemko tafakari polepole nna uhakika kuna kitu kinaweza kukufaa...kutekeleza ni kazi nyingine...muombe Mungu kwa imani yako abariki nia njema ya chochote kizuri katika hili
germve himself
Nilifikiri ni mm peke yanguuDoh, yaani wakati nasoma zimenijia picha za wadada kama 10 hivi ninaowafahamu wanalifesytle kama hii, natamani Ni copy and paste niifoward kama ilivyo but naogopa kununiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Imeniijia picha ya dem wangu mmoja anasoma NIT yaani ndo maisha yake anaongea kingereza utafikiri kazaliwa UK sa najiuliza hizi mbwembwe zake hazina mda mrefu zitamuisha.
Ntaleta wa kuwafurahisha wanawake piaHaaaa haaaa haaaa....
Mleta Uzi hapa umewafurahisha wanaume manake hizi nyuzi zinawaongezea dozi ya kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipojifunza wewe wengine watajifunza kupitia wewe.wew nan na unausafi gani mpaka ushauri watu nenda kanyonyeshe uko kila NTU na maisha yake yako yanaelekea kukushinda unahangaika na ya watu