chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,979
Kama Tanzania bara inaendeshwa kikristu?Mkuu hiyo ipo kotekote sehemu yeyote yenye idadi kubwa ya waumini wa imani fulani lazima hiyo imani iwe na athari kwenye hiyo jamii.
Kama Tanzania bara inaendeshwa kikristu?Mkuu hiyo ipo kotekote sehemu yeyote yenye idadi kubwa ya waumini wa imani fulani lazima hiyo imani iwe na athari kwenye hiyo jamii.
Ndio mkuuKwa hiyo unataka kusema wakiwa wengi au wachache watataka kutambuliwa tuuu...
Mfano wakienda Vatican leo watahitaji kutengewa eneo lao la kuabudia??
Ulilazimishwa ukae Zanzibar, Ule ovyo tu halafu uwachiliwe, huo utakuwa ugonjwa subiri uwepo Sinza, Ubungo.... utakula hadharani, sio Zanzibar.Habari !
Kwa waliowahi kufika au kuishi Zanzibar kipindi cha mwezi wa Ramadhani, almaarufu kama mwezi mtukufu wamewahi kuona sheria kali zilizotungwa na mamlaka ndogo Ila zina nguvu kubwa kwakuwa wasimamizi wakuu si polisi tena bali ni wananchi na polisi husaidia tu panapohitajika msaada.
Sheria ya namna ya kula chakula au vinywaji wakati wa Ramadhani huko Zanzibar zinakera na kunyima Uhuru wa watu wengine.
Inafika wakati hata kwako ili upike itakubidi ufunge milango na uhakikishe haukaangi maana vyakula vikinukia tu wananchi hao wamekuvamia.
Je, Zanzibar si Tanzania ?
Zanzibar ni non secular ?
Si kweli ndugu.hakuna anaelazimishwa kufunga,wengi hawafungi sababu jambo la kufunga linatokana na imani.
Kinachopiganiwa zanzibar ni kuipata swaumu iliyo sahihi na ili ipatikane funga iliyo sawa ni lazima kukabiliana na yenye kufunguza.nafsi ya mwanadam imeumbwa na matamanio hivyo kula hadharani kutaathiri funga za waliofunga,kutazama Dada zetu wasiojistiri vema maungo yao itaathiri funga.
Kwa mazingira ya Tanganyika hasa dar na miji mingine mikubwa kufunga kwa usahihi ni jambo gumu sana sababu ya mazingira yenye kufunguza kuwepo bila kukemewa kutokana na uwiano wa dini hizi mbili kuwa sawa.
Kufunga si kujizulia kula na kunywa.
Umpige mtalii ..wakati uchumi wao unategemea hilo?
Serikali haikuachii..
Lakini..si msiende kipindi hiki?
Waacheni na tamaduni zao bwana!
Bara kuna makabila na mila zao...kule dini ni kama mila yao hakuna makabila..
Waacheni...
Kwanza hata huo utalii wananchi ni hawautaki unachangia sana kuiharibu znz...maana inaleta watu wa ajabu ajabu na tabia za kwao huko..

Waendeshi kikristo kwa sheria zipi walizonazo? ishu sio mpaka hadi uendesha nchi tu bali hata nchi kuwa na baadhi ya sheria au tamaduni zilizotokana na athari za dini.Kama Tanzania bara inaendeshwa kikristu?
ZMZ NI NCHIHabari !
Kwa waliowahi kufika au kuishi Zanzibar kipindi cha mwezi wa Ramadhani, almaarufu kama mwezi mtukufu wamewahi kuona sheria kali zilizotungwa na mamlaka ndogo Ila zina nguvu kubwa kwakuwa wasimamizi wakuu si polisi tena bali ni wananchi na polisi husaidia tu panapohitajika msaada.
Sheria ya namna ya kula chakula au vinywaji wakati wa Ramadhani huko Zanzibar zinakera na kunyima Uhuru wa watu wengine.
Inafika wakati hata kwako ili upike itakubidi ufunge milango na uhakikishe haukaangi maana vyakula vikinukia tu wananchi hao wamekuvamia.
Je, Zanzibar si Tanzania ?
Zanzibar ni non secular ?
Kusema watu wafunge migahawa kipindi cha Ramadhani huko ni kulazimisha watu wafuate misingi ya Dini ya Kiislam, hii sio kwamba sio fair tu kwa Wasio Waislam bali hata kwa Waislam wenyewe, maana sio kila Muislam atataka afunge, kufunga ni hiyari ya mtuWaendeshi kikristo kwa sheria zipi walizonazo? ishu sio mpaka hadi uendesha nchi tu bali hata nchi kuwa na baadhi ya sheria au tamaduni zilizotokana na athari za dini.
Zazibar hawaendeshi nchi kiislamu bali kuna baadhi ya taratibu zao ni kutokana na athari ya dini yao hivyo hata bara kungekuwa na wakristo wengi kiasi kama cha waislamu huko zanzibar basi pia kungekuwa na taratibu zenye athari za ukristo.
Tunashindwa kuelewana kitu kidogo tu kuna tofauti ya nchi ya kiislamu na nchi yenye waislamu wengi,zanzibar sio nchi ya kiislamu bali kuna waislamu wengi na ndiyo na hali hiyo hufanya tararibu zao kuwa na athari na uislamu,hata kama serikali isingepiga marufuku ila kuna biashara nyingi tu za chakula wenyewe wangefunga mchana wa mwezi wa ramadhani hata huku bara mambo hayo yapo ndio itakuwa huko kwenye waislamu wengi?Kusema watu wafunge migahawa kipindi cha Ramadhani huko ni kulazimisha watu wafuate misingi ya Dini ya Kiislam, hii sio kwamba sio fair tu kwa Wasio Waislam bali hata kwa Waislam wenyewe, maana sio kila Muislam atataka afunge, kufunga ni hiyari ya mtu
Hebu nitajie nchi za Kikristo zenye kulazimisha watu wafuate matakwa ya Dini ambayo yapo direct kama marufuku ya kufunga Ramadhani, maana za Kiislam naweza kukitajia hata 10
Mkuu haya mambo yana taratibu zake. Wao ni wageni.Ukipika ndani sidhani kama kuna bughudha utaipata kutoka kwao, isipokuwa kula au kunywa hadharani ndio kwao shida pia migahawa ya kuhudumia waswahili hufungwa ajabu ni kwamba watu weupe hunywa maji hadharani na migahawa ya kitalii ipo wazi na hawawafanyi kitu, Wazanzibari wengi wao naweza kusema ni unafiki tu umewakaa na wana ubaguzi sana hawa watu, mwanamke mweusi akitembea bila kufunika nywele atapigwa au pona pona yake ni kuzomewa lakini mzungu au mhindi hawawafinyi hivyo.
Wanafiki sana, wabaguzi na chuki zimewajaa.
Alitambua kuwa Wazanzibari hawataki MAFUDUNyerere alikosea sana kuwaacha hawa watu kuwa mabaki ya sultan ange ruhusu wa bara kuingia visiwani na kujitwalia vigori leo tusingeiyona Zanzibar ya uarabu koko na ya kibaguzi.
Mkuu unataka uambiwe vipi? Kumbuka wale ni Waswahili. Waswahili husema "akufukuzaye hakuambii toka"Ndio unaambiwa kwa vitendo sio kwa maneno. Ukiambiwa kwa maneno si unaleta majibizano, sasa unaambiwa kwa vitendo
Hulazimishwi kufunga. Kama unakula mchana kaa ndani kwako. After all kula staraKufunga suala la mtu na Mungu wake eti ulazimishwa kufunga hata kama hujui kuhusu Mungu!!
Pole kwa saumi mkuru...Kile kinachoitwa Muungano ni njia tuu yakuingia Mamlaka halali za Nchi yetu hv sasa nyinyi Mlooko DODOMA ndio mnaouamulia wazanzibar kila kitu Roho mbaya zimewatawala chuki ubinafsi MITANGANYIKA ndio chanzo cha vurugu zote za Zanzibar
Mnaingilia chaguzi zetu mnaleta jeshi lenu la kikoloni kupindua maamuzi hali ya Wazanzibar mumejaza majitu yenu kila sekta kila nyanja
HEBU JARIBU KUFIKIRIA KAMA NYINYI MNGEVAA VIATU VYETU MNGEWEZA KULISTAHAMILI HILI HATA MWAKA MMOJA?
Mnatuambia Muungano wa mfano wakuigwa Tukikwambieni tuonesheni Nchi moja tuu iloiga Muungano huu hamna jibu
Watu wake ndio mbute, baba zao waliuzwa utumwani na surubu tupu wao wanauzwa kwa kigezo cha uslam.. Zero kabisa.Kwani Dini ya kiislamu ni utamaduni wa Zanzibar?
Dini hizi mbili kuwa sawa kwa takwimu ipi haswaaa ulionayo? Uslam huku bara ni 20 kwa 80 ya ukristo.Si kweli ndugu.hakuna anaelazimishwa kufunga,wengi hawafungi sababu jambo la kufunga linatokana na imani.
Kinachopiganiwa zanzibar ni kuipata swaumu iliyo sahihi na ili ipatikane funga iliyo sawa ni lazima kukabiliana na yenye kufunguza.nafsi ya mwanadam imeumbwa na matamanio hivyo kula hadharani kutaathiri funga za waliofunga,kutazama Dada zetu wasiojistiri vema maungo yao itaathiri funga.
Kwa mazingira ya Tanganyika hasa dar na miji mingine mikubwa kufunga kwa usahihi ni jambo gumu sana sababu ya mazingira yenye kufunguza kuwepo bila kukemewa kutokana na uwiano wa dini hizi mbili kuwa sawa.
Kufunga si kujizulia kula na kunywa.
Mkuu hili unalijua vyema? Labda nikukumbushe usome historia ya utumwa. Pale zanzibar ilikuwa watumwa wakiuzwa baada ya hao watumwa kuchukuliwa kutoka Bara. Mkuu soma historia ujikumbushe. Hakuna Mzanzibar aliyeuzwa, kwa hivyo baba zao hawakuwahi kuuzwa.Watu wake ndio mbute, baba zao waliuzwa utumwani na surubu tupu wao wanauzwa kwa kigezo cha uslam.. Zero kabisa.