sehem 2
Nilijikuta kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu
ya lile swala,
" Unajua nilishachoka kukubembeleza Jua,unaishi kwangu
kila kitu unachofanya ni kwa pesa yangu,mimi nakuomba
unipe mara moja unajifanya mjanja sio?" aliongea kwa
jazba shemeji mpaka nikaogopa
" Shem nikupe nini...