Keyzer Soze
Member
- Dec 30, 2016
- 27
- 22
Samsung Note 8 yangu nliangusha kwa bahati mbaya,ikacrack kwenye screen ilipowaka ikakataa kusoma line, nlivyopeleka kwa fund akanambia BASEBAND ndio imezingua akajaribu kuiFix ikashindikana, Solution ni kupata Circuit nyingne, mwenye nayo tuwasiliane tufanye biashara