Recent content by keybroked

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kama sitazulumika katika mauziano haya ya nyumba

    Mnaweza mka saini huo mkataba mkauacha mahakamani/hakimu kisha mkaongozana na mnunuzi hadi benki kuhakikisha amelipa. Baada ya kulipa kwa wote ndio anakabidhiwa mkataba.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nesi akiri alivyomhanithi mumewe na kumuua polepole kwa dawa ya macho

    Asante kwa stori, nimejifunza baadhi ya vitu[emoji120][emoji120]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dawasa wanatupiga

    Ni tatizo sana DAWASA, pia hata maji yasipotoka wanakuja na bili ambazo huwezi amini. Hii ni wizi wa wazi.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya mtu wa diploma pale TPDC ikoje..?

    Sio kweli, uliamua kuchangamsha jukwaa! Technician haizidi 800,000/= na Ofisa II anayeanza haizidi 1,600,000/=
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya mtu wa diploma pale TPDC ikoje..?

    Daah, hivi ukidanganya watu unapata nini?
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

    Sorry, hivi mchanganuo wa matokeo yote ya urais yapoje? Asilimia walizopata wagombea wengine na zilizoharibika?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    Sometimes ingia hata google, utapata majibu badala ya kuandika yale unayoyafikiria
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    https://mabumbe.com/jobs/research-engineer-at-tpdc-october-2020/
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    https://udahiliportal.com/manager-monitoring-and-evaluation-at-tpdc/
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara

    Kuna ugonjwa unaitwa Aplastic anemia ila kama ni toka 2017 ungekuwa ushazidiwa sana kama unao
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

    Jaribu uje DSM na uwasiliane na huyu mpemba 0715060740. Amesaidia wengi sana wenye matatizo hayo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

  13. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar limekamata marobota 10 ya vitenge na pampers, mmiliki alikuwa anakwepa ushuru

    Safi sana kamanda Siro, kagua na canter zote za Dar na mikoani nyingi ni za wizi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi, punguza mwendo na uwe makini

    Lukuvi ameonyesha jitihada kubwa kusaidia wanyonge kupata haki yao. Hongera sana Lukuvi endelea kupiga kazi hata ukifanya vema kuna watu watatokea tu kupinga. Sikuona jitihada zozote za uliyempokea zaidi ya kuongeza migogoro ya ardhi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Simtengu achafua hali ya hewa TPDC

    Tuwe wa kweli katika hili mama hana hatia, hana madaraka ya kufanya hivyo.
Back
Top Bottom