Recent content by Kevomu

  1. K

    Katiba Mpya ni kwa maslahi ya wanasiasa kujiwekea mazingira ya kutawala na si kusaidia wananchi

    Mjadala wa katiba mpya unapiganiwa na wanaharakati wa kisiasa wakishinikiza wananchi kuwaunga mkono, lengo lake kuu si kuwasaidia wananchi (wamachinga,mama ntilie, wafanyakazi) bali ni kuawasaidia wanasiasa hao kushika hatamu za uongozi kwa maslahi yao na familia zao, na pia kuongeza nafasi za...
  2. K

    Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

    usingekuwa na watoto 7 na wanawake tofauti ungekuwa na gari.
  3. K

    FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Huu uzi haupingi FOREX, kama kingereza shida mwambie aliepost atafsiri. huu uzi unawatahadharisha watu kukimbilia kulipia service za robot ambazo zinawadanganya watu kuwa forex ni "get rich quick scheme". na sort of mining services zinazofanya watu waone forex haiitaji knowledge kubwa. in real...
  4. K

    KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Raila amefanya jambo la kishujaa sana ku_widraw.
  5. K

    Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

    Mange Kimambi kachagua hio kama kazi yake, tusubiri astaafu akiwa na miaka 60. Wanaojitambua wanajua njia sahihi ya kufuata maana hata Mange akiacha kutukana ataokea Mange mwingine na mwingine na mwingine. Lakini ipo siku she'll look back and know how foolish she has been and it will be too late.
  6. K

    MAJANGA: Tanzania kuilipa kampuni ya KONOIKE zaidi ya Sh. Bilioni 133 baada ya kushindwa kesi mahakamani!

    Kipindi hiko Magufuli alikuwa Minister of Lands and Human Settlements; Hata kama kuna sehemu jamaa anakosea ila kama madeni viporo ya enzi za wahenga bado mnamlaumu yeye, huo ni unafki na chuki ya hali ya juu.
  7. K

  8. K

  9. K

  10. K

    MAJANGA: Tanzania kuilipa kampuni ya KONOIKE zaidi ya Sh. Bilioni 133 baada ya kushindwa kesi mahakamani!

    Watanzania bhana, mmejaa chuki na roho mbaya tu, Mkuu anapiga kazi, makosa madogo yanayojitokeza ni changamoto ambazo marais wote wanapata. Hii ni kesi ambayo imekuwa won kipindi cha Magufuli, lakini hii contract ilikuwa breached 2008/2009 ambapo jamaa hakuwa madarakani, na kesi imekuwa...
  11. K

    Hakika hoja za kisiasa zimekwisha yamebaki haya

    Mi napiga kazi mwendo wa Serikali mpya.
  12. K

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    Mbona Povu linakutoka, ulitaka waliompiga Lissu risasi wapatikane kwa siku moja. haya mambo hatua kwa hatua, hata hao wa Lissu watapatikana. Au mwenzetu mauaji ya kibiti yalikuwa hayakugusi we ulikuwa unaona kama sinema unafurahia tu.
Back
Top Bottom