george ndamanya
Member
- Jul 10, 2017
- 22
- 33
Ndugu wana JF,
Siasa za nchi hii kwa sasa zimekosa mashiko kutokana na utendaji wa serikali ya awamu hii.
Haya ni maswali najiuliza na ningependa kushare nanyi:
HITIMISHO
TUCHAPE KAZI TUACHE KUANGAIKA NA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOSHIRIKIANA NA WANASIASA WALIOKOSA HOJA ZA KISIASA
Siasa za nchi hii kwa sasa zimekosa mashiko kutokana na utendaji wa serikali ya awamu hii.
Haya ni maswali najiuliza na ningependa kushare nanyi:
- Lini katika uongozi wa NYERERE, MWINYI, MKAPA na KIKWETE tulitangaziwa na serikali kwamba inaenda kukopa zaidi ya kusikia kwenye BUNGE LA BAJETI deni la serikali limeongezeka ama limepungua?
- Lini katika uongozi wa NYERERE, MWINYI, MKAPA na KIKWETE serikali ilitangaza kwa wananchi juu ya kushikwa kwa mali zake nje ya nchi?
- Katika uongozi wa NYERERE, MWINYI, MKAPA na KIKWETE serikali imeshakuwa na kesi ngapi na je zilikuwa agenda za kitaifa?
- Katika uongozi wa NYERERE, MWINYI, MKAPA na KIKWETE hakukuwa na matukio ya watu kushambuliwa, kutekwa na kupotea?
HITIMISHO
TUCHAPE KAZI TUACHE KUANGAIKA NA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOSHIRIKIANA NA WANASIASA WALIOKOSA HOJA ZA KISIASA