petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 901
- 345
Ni kweli umesema ila ukumbuke kuna mikataba tayari tulikuwa tumeshasaini ambayo ilikuwa kisheria ndio ambayo inatucost tatizo sio wao tatizo ni sisi tulishajichanganya ndio maana magufuli anataka kulichukulia hili swala si kibabe zaidi anawatekenya tekenya ili walainike coz anajua tulisheza sindimba ambayo inatukocost saa hii hata hivyo kajitaidi kupata hiyo pesa wazungu ni wajanja sana ingekuwa hakuna mikataba tuliosaini mwanzo hivi magu yale macontena pale bandarini yangekuwepo hadi sasa.au unataka kusema magu hajui kilichopo mule mpaka sampo ilitolewa kule sema ushabiki ni mwingi tzd ndio maana lissu alikataa coz alijua wale wana haki kwa ujinga wetu wenyewe ila anko akasema pamoja na haki lazima kieleweke huku akijua wana haki mungu si bashite uzuri kidogo wanatekenyeka ili apate pa kuanzia big up anko wapo watanzania wanaombea hata wasotekenyeke wamnyoshe anko ili waendelee kubebe tu kweli tumelogwa bora mpate hata hiyo balimi kuliko kukosa miaka yote ile makosa yalishafanyika hatuwezi kuwaachia kuendelea kifanya kosa