Ndugu zangu nimekuwa na nia ya kutumia fursa iliyotangazwa na WIZARA YA NISHATI ya ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini vya gharama nafuu kupitia EWURA nimeona natakiwa kupata KIBALI kabla ya ujenzi ila nimekosa sehemu nayotakiwa kupata kibali hiki naomba mwenye ujuzi na hili anielekeze maana...
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa mtaji wa mafuta ni mkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma.
MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mabenk ya uwekezaji nifungue...
Jaman mie pia naomba niulize juu ya hili hivi ni lazima mie nikitoka wilaya flani na ninae badilishana nar lazima aende wilaya hiyohoyoo??? Pia nahtaji wa kuja moro nkaenda dodoma wilaya yoyote
Kwa wale wenye mtazamo wa hapa na pale wasioangalia mbali watawabeza upinzani ila jua ujuavyo upinzani ndo umefanya leo tuwe na rahsi magufuli maana isingekuwa upinzani na Lowasa kujitoa wasinge mtafta mgombea mzalendo mchapakazi na msafi wangemtafta fusadi mwenzao na kumuweka HUU NI MPANGO WA...
Mimi ni kijana wa miaka 23 katika maisha yangu nilitaman kuwa IT sku moja ila kutokana na familia nkaambulia ualimu wa msingi sasa nauliza naweza soma hicho kitu maana nilipata four 26 mwaka 2010 na nina D 7 na C 2 chemistry na English. Math,phis , na mengine yote D nisaidien jaman 3...
Si dhani kama hoja yako ina mantiki yoyote kama mahakama ishafanya kazi yake bas hakuna kutangazia kupitia vyombo vya habari kwa ufupi sioni mashiko katika hoja yako maana kisa kipo na lisemwalo lipo sio watanzania wote ni mbulula kama mnavo dhani!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Uzembe tu! Na si hapo tu kila sehem inayoguswa na selikari uzembe kama uo upo mfano hazina walitoa mishahara kwa baadhi ya waalim ya miezi miwili wengine wakakosa miezi yote na wengine wakapata mwezi mmoja hawana maelezo ya maana shida tupu!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hiyo hua inatokea mara nyingi bint ukianza kumsifia mara kwa mara ila inabidi muwe na ukarbu frani yaani utabanjua kiulaini hata mie nisha apply its so easy tena hata hakusumbui!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
It doesn't matter kama yeye ndo analeta mtafaruko kwenye ndoa au sie lakni kila mtu kama kalelewa na wazazi wake nikazi sn kuendana kwa kila hali Namsapport mshua!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Naomba mnukuu usemi wa Mandela. "It is said that no one truly knows a nation until one has been inside its jails. A nation should not be judged by how it treats its highest citizens, but its lowest ones."
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.