Nifanyeje kujenga Kituo cha kuuza mafuta?

KESHa

Member
Feb 26, 2014
25
45
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa mtaji wa mafuta ni mkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma.

MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mabenk ya uwekezaji nifungue sheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,906
2,000
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa unitaji wa mafuta nimkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mbenk ya uwekezaji nifungusheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI
Anzia tu kuuza hayo mafuta hata kwenye vidumu ili kupunguza hilo tatizo la uhaba wa mafuta kwenye hilo eneo unaloishi. Ila kuwaza kuanzisha kituo cha mafuta halafu mfukoni huna hata MIA! ni kujiongezea tu msongo wa mawazo.

Ungekua walau hata una milioni 200 hivi wadau wangekupa msaada wa nini cha kufanya. Sidhani kama kuna benki itakayokupa hela ili ukaanzishie biashara!

Kwa maelezo zaidi wewe nenda kwenye ofisi za Sumatra au tafuta humu humu jukwaani. Kuna nyuzi za watu huko nyuma waliuliza swali hili hili na kujibiwa vizuri tu.
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
858
1,000
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa unitaji wa mafuta nimkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mbenk ya uwekezaji nifungusheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI
Unalo eneo la ardhi ambamo shelio hio itawekwa?

Kama una eneo la uhakika basi ipo namna ya kupata sheli,kama huna eneo la uhakika basi kwanza tafuta eneo la uhakika la kuweka sheli,kisha tafuta takwimu za idadi ya Magari kwa eneo husika na pia ukiweza kuwa na makadirio ya mauzo kwa wiki basi unaweza kupata fursa ya kumiliki sheli yako kama ndoto yako ilivyo.

Kwa kawaida unahitaji kuwa na uwezo wa kununua mafuta kwa cash na unaingia katika ubia wa franchising na makampuni makubwa.Kama uko serious na vigezo umevielewa njoo PM.
 
careenjibebe

Senior Member
May 28, 2020
186
250
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa unitaji wa mafuta nimkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mbenk ya uwekezaji nifungusheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI
Wazo ni mtaji...tafuta matajiri uza wazo mshirikiane..
 
annito

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
845
500
Anzia tu kuuza hayo mafuta hata kwenye vidumu ili kupunguza hilo tatizo la uhaba wa mafuta kwenye hilo eneo unaloishi. Ila kuwaza kuanzisha kituo cha mafuta halafu mfukoni huna hata MIA! ni kujiongezea tu msongo wa mawazo.

Ungekua walau hata una milioni 200 hivi wadau wangekupa msaada wa nini cha kufanya. Sidhani kama kuna benki itakayokupa hela ili ukaanzishie biashara! Kwa maelezo zaidi wewe nenda kwenye ofisi za Sumatra au tafuta humu humu jukwaani. Kuna nyuzi za watu huko nyuma waliuliza swali hili hili na kujibiwa vizuri tu.
This is illegal, labda awe na mobile..and km mtaji tu majanga ni shida. .... namshauri hivi....

Atafute mmiliKi yoyote aliyoko karibu nae wa mobile (gari ndogo zakuuzia mafuta)..then anza kufanya nae biashara. ...

Wengi wao wanatoa mafuta kwa mali kauli then anapunguza chini ya bei ya Ewura mf 100/200 kwa kila lita ukauze kitachozidi uuzapo ndio mshahara wako...
 
Magari damu

Member
Apr 24, 2020
48
125
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa unitaji wa mafuta nimkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mbenk ya uwekezaji nifungusheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI
Sema ni costful sana boss. Nearly 600m yani hadi sheli kukamilika.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,829
2,000
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa unitaji wa mafuta nimkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2 watu wanakosa huduma MIE SINA Mtaji ila natamani nikope hata kwenye mbenk ya uwekezaji nifungusheli huku kijin wateja ila namna ya kupata mtaji, kupata msaada wa andiko.

NIFANYEJE KUPATA MTAJI NA UTARATIBU MPAKA NIWE NA SHELI

Hapo unapo kaa ni wilaya gani?
 
Dunamist

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
425
1,000
Kwa hiyo unataka kumiliki SHELL? Hiyo ni kampuni ya Waholanzi mkuu... Cheki nao uone km unaweza nunua hata shares tu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom