Recent content by Keren_Happuch

  1. Keren_Happuch

    Miaka miwili ndani ya ndoa bila kuelewana lugha na mkewangu

    Hongereni sana kwa miaka 4! Ila mimi nina swali: zili hatua za mwanzo za urafiki hadi uchumba mlielewana vipi? Au ndo kupitia huyo rafiki hata msg ya kwanza ilipitia kwake!?!?....:confused:
  2. Keren_Happuch

    Arusha iko tayari!

    Tunawaombea amani na utulivu kwenye uchaguzi huo! Na HAKI ikatendeke. Kila la heri wana-ARUSHA. Stay blessed,
  3. Keren_Happuch

    Happy Birthday Sakapal!!

    Happy Birthday sakapal.....may you have a life full of joy and happiness! Stay blessed,
  4. Keren_Happuch

    I badly need your advice

    Nami nafaurahi kukuona Kaizer, ni muda mrefu!! Ni kweli kabisa, nimeona kumbe anajua kikwetu. Ila sikuweza kumaliza kusoma.....sie wa 47, lugha mpya ya short cuts inanishinda! Stay blessed,
  5. Keren_Happuch

    I badly need your advice

    Kaizer, mie umenishangaza haswa!!! mwenyewe kaandika kiinglishi, wewe unamjibu kwa lugha ya kimatumbi...:A S-confused1:. Ataelewa kweli hapo???!!! Hope wewe hujambo!
  6. Keren_Happuch

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Hahahahah..... BAK,...kumbe ulikuwa hujui!!!....:) :)....Asante sana!
  7. Keren_Happuch

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Hahahahah..... BAK, yaani Babu DC amenichekeshaje yaani!!...Bana mi sina ubuyu bana...LOL. Mi mzima kabisa rafiki, sijui weye!
  8. Keren_Happuch

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    Duuuh!!! hivi kama ingekuwe hivyo utakavyo wewe Marytina, wanadamu wangekuwa sawa na wanyama tu!! Hapana si hivyo bana rafiki....
  9. Keren_Happuch

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Mheshimiwa Katavi, nisamehe kwa hilo! Nitajitahidi kuwepo....! Stay blessed,
  10. Keren_Happuch

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Rafiki Kaizer, yaani nakuja sasa hivi...missed you biiiig...! hope u mzima wewe!
  11. Keren_Happuch

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Nimepotelea humu TZ, naona Obama amenileta na mimi.....LOL! Good to see you...
  12. Keren_Happuch

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Yaani hata hujakosea....ndo niko kwenye msafara mmoja...LOL!!
  13. Keren_Happuch

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Ni kodi yako tu........
  14. Keren_Happuch

    Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

    Pole yako. Maana wewe mwenyewe hujui maana ya kuokoka ni nini! Ungeijua, ungeanza kujiuliza maswali baada ya kuona anafanya tofauti na wokovu. Kama aliweza kuikana imani yake ya wokovu au Mungu wake kwa ajili yako, je atashindwa nini kuku-betray wewe??!! POLE.
  15. Keren_Happuch

    Password nisizozijua kwenye Simu ya Mke wangu!

    Mhhhhh!!!???........... Nakusalimu rafiki.
Back
Top Bottom