Okay pole sana...hata mods wakiiwekea paragrgaphs, itakuwa shida kuelewa kwa akili ya kawaida, nimejaribu kuisoma juu juu tu
usijiingize kwenye utumwa kwa hali kama hiyo tulia saidida wazazi wako utampata akupendaye penda unapopendwa
Keren_Happuch huwezi jua nimefurahije kukuona jamani.....amesema amekaa huku kama miaka kumi so kiswahili atakuwa anakijua nadhani lolKaizer, mie umenishangaza haswa!!! mwenyewe kaandika kiinglishi, wewe unamjibu kwa lugha ya kimatumbi...:A S-confused1:. Ataelewa kweli hapo???!!!
Hope wewe hujambo!
Keren_Happuch huwezi jua nimefurahije kukuona jamani.....amesema amekaa huku kama miaka kumi so kiswahili atakuwa anakijua nadhani lol
alsumry,
Why don't you write in Swahili or rather you can write in Arabic you'd be understood better.
In short, kick him out of your life, he is not for you.