Recent content by kenzi

  1. kenzi

    Ajira mpya za TRA

    Asante
  2. kenzi

    Ajira mpya za TRA

    Samahani, kwenye vyeti vyako umeattach na transcript? Najaribu kufikiri kama un acheti kuna haja ya kuattach transcript?
  3. kenzi

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Hello, hiyo exemption wamekupa kwasbb ulisoma degree ya banking au? So unatarajia kufanya mtihani nov? Ni mitihani ya masomo gani ambayo utafanya?
  4. kenzi

    Kwa anayehitaji Mhasibu

    Asante
  5. kenzi

    Kwa anayehitaji Mhasibu

    Samahani, hivi ukisema umefanya kazi kmaa account payable maana yake ni nn?? Yaan una deal na nini haswa?
  6. kenzi

    Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Kwa ushauri zaidi yaan usijidai kumuwakia au kujidai unamtetea mama ako. Ww kaa kimya hamisha familia kimya. Yaan ukitaka umvuruge na akutangaze huna adabu fungua mdomi uanze kutetea familia. Atatangaza kote kuwa umemdharau na unajua jinsi ilivyo kwa sisi watoto kuonekana nje kuwa tumedharau...
  7. kenzi

    Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Mkuu... wote wanaosema utafte wazee waongee na baba yako, mimi kwa upande wangu naona haitofua dafu maana anaonekana ni mtu ambae hashauriki kabisa. Baba ako anakuchukia kwasababu unamuwezesha mama na wadogo zako. Kitu ambacho alitaka wahangaike na wasifanikiwe ili yeye aseme amewapa laana na...
  8. kenzi

    Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

    Kwakwel.... ngoja nikaoge baharini. Ikishindikana ntatulia tu nisilazimishe bahati
  9. kenzi

    Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

    Ni sawa ila kwenye ishu ya braza meni sipo kbsaa... yaan hii ishu kwangu ni kama stry.. kwangu haijawah tokea. Kwanza ukikutana na bby anaanza kukuelezea jnc ambavyo hela haitoshi akimaliza hapo huwez hta kuomba usaidiwe kitu. Sasa najiuliza wenzangu wanafanyaje?
  10. kenzi

    Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

    Jaman hivi wanaume kama nyie ambao mnahudumia ukweni mpka mnatoa 1m ya biashara mnapatikana wapi? Maana kwangu hizi ni stry kama za abunuasi au mimi ndio nina gundu?
  11. kenzi

    Sijui nina mkosi gani...

    Mkuu em nieleze pa kuanzia kuhangaika
  12. kenzi

    Naomba ufafanuzi kuhusu jambo hili la Tanzania Employment Services Agency (TAESA)

    Waliokuwa wanahitajika ni graduates wa mwaka 2017 na 2018 wenye g.pa kuanzia 3.5 ndo wametaftiwa kazi na internship inategemea na utakayobahatika nayo. Lakini zaidi ya yote wewe nenda na vyeti vyako original na cv ukajiandikishe ikija kutokea kazi watakujulisha
  13. kenzi

    Niliyoyaona Utumishi

    Asante
Back
Top Bottom