TPB APTITUDE TEST RESULTS 31 JULY 2019

Habarini za asubuhi wadau, samahani naomba kwa wale waliopiga test jana TPB BANK tujuzane kama matokeo wametoa au kama kuna mtu katumiwa meseji kama walivyosema jana atujuze. Tunashindwa kurudi mikoan kwetu tukaendelee na shughuli.
Pole Mkuu.
 
Yaani katika wote walofanya ma Group yote nikipita watu wanalalamika Mwana kaitwa peke yake tu inaelekea😂😂😂😂
 
Yaani katika wote walofanya ma Group yote nikipita watu wanalalamika Mwana kaitwa peke yake tu inaelekea
Yan siku ile ya test nlichukua namba kama za watu 50 randomly lakin kila ninae muuliza anasema bado majibu hayajatoka lakin chakushangaza nasikia oral imeshafanyika, sasa najiuliza ni watu gan walioitwa kufanya oral mbali na waliofanya written?
 
TPB mapicha picha boss kawaida yao hata ukipita Kwenda ORAL bado mapicha tu.
 
Yan siku ile ya test nlichukua namba kama za watu 50 randomly lakin kila ninae muuliza anasema bado majibu hayajatoka lakin chakushangaza nasikia oral imeshafanyika, sasa najiuliza ni watu gan walioitwa kufanya oral mbali na waliofanya written?
Duuu...
 
hizi taarifa umezipata wapi na je una uhakika na hio source ya taarifa? Zitakuwa romous tu hizo
 
Back
Top Bottom