Kwa anayehitaji Mhasibu

kijana255

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
245
250
Ndugu zangu mimi ni Graduate BAF Mzumbe na pia nina CPA, nimefanya kazi ya kama Account Payable ktk taasisi kubwa kwa miaka 3, hivyo kwa Taasisi inayoitaji mtu makini kwenye hiyo sector nipo tayari kufanya kazi
Duuuu tumefika uko, cpa kweeli?
 

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,558
2,000
Sijawahi kuiba na wala siwazi, sema wanafaidika sana na mimi alafu hawajali nikaamua kuondoka ili nisake changamoto mpya
 

Kamawewe

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
482
500
Mkuu Kama uko competent Kama walivyo wengi wenye CPA fanya yafuatayo

1.Tafuta financial and tax consultant mzoefu muombe awe mentor wako, jifunze financial and tax consultancy ikijumuisha Mambo ya E filing then jiandikishe kuwa tax consultant alafu unaweza kutafuta mtu mwengine mkafungua accounting firm. Yàani wewe Una fursa nyingi hujajijua tuu,huu ushauri ninaokupa nimewashauri wengi na wananishukuru Hadi leo kikubwa competency, commitment and learn how to sell your services, ikiwa na CPA unaweza kukosa ajira lakini sio kukosa kazi za kukuingizia kipato ata kidogo

2.Jifunze how to sell professional services Kama accounting and tax services bila kukiuna professional ethics, jifunze kupitia mentor,articles vitabu na mitandao.

3.Ukiwa CPA unapoachana na mwajiri wako usimuongelee vibaya kwenye mitandao eti sijui amenifanya hivi, inakuondelea credit na potential employers watakukwepa kwa Hilo. CPA unatakiwa kushauri au kuelekeza kazini kwako, wakikupinga na kukutaka Jambo baya zaidi kataa ikishindikana resign.Huwezi amini Kuna fursa umeikosa kutokana na mashaka juu ya your personality and immotional iteligence.
 

kenzi

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
427
500
Ndugu zangu mimi ni Graduate BAF Mzumbe na pia nina CPA, nimefanya kazi ya kama Account Payable ktk taasisi kubwa kwa miaka 3, hivyo kwa Taasisi inayoitaji mtu makini kwenye hiyo sector nipo tayari kufanya kazi.
Samahani, hivi ukisema umefanya kazi kmaa account payable maana yake ni nn?? Yaan una deal na nini haswa?
 

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,558
2,000
Ni unahusika na maswala ya kulipa suppliers, una process payment zote kampuni inadaiwa na wazabuni mbalimbali
Samahani, hivi ukisema umefanya kazi kmaa account payable maana yake ni nn?? Yaan una deal na nini haswa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom