nilichogundua,watu hawaumizi tena fikra zao juu ya ccm, hata ije na habari gani mpya ndani ya saa12, yaan mkilala mkiamka imeisha, ko haisumbui, hapo ukawa hata wakijamba hilo swala linaongelewa two weeks. Safari yao ya kupumzika haiepukiki
hivi wananchi wooooote wanaoenda kweny mikutano ya ccm huwa wanauniform kbs, maan kila ninamuona mombea wa ccm, 99% ya hadhira ni wenye t-shirt za chama.hiyo ni imani yangu kuwa watu hao huwa wamebebwa kwa mabasi na kununuliwa.
haijalishi awe mwarobaini au vp, kwan ccm ndo mwarobaini????? wizi wooooote uliowahi kuusikia nchi hii umefanyka chini ya uongozi tulivu na imara wa ccm, sas wew una kipi cha kuitetea ccm???? iwe juu iwe chini lowasa ana kula yangu
iwe kweli iwe uongo, tunachotaka sisi kwa sasa ni kuitoa tu ccm, yoooote hayo yanasemwa kama ccm ingalkuwa imara tangu mwanzo wasingepata cha kuongea wapinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.