Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
ameshindwa kujipigia kampeni apate nafasi ya kugombea uraisi kupitia ccm ndio ataweza msaidia Maghufuli kuchukua nchi. UKAWA TUPO SAWA. AFE KIPA AFE BEKI
Cha kubebesha wanafunzi mabango yake kuchafua barabara na madaraja kujiandika jina lake au kuna kingine zaidi ya hivyo embu vitajeKiukweli Mwigulu yupo vizuri sana. Ana kipaji cha pekee na uwezo mkubwa. Ingawa wakubwa ndani ya chama chake sijui hawamuoni . He deserve even to be the PM
Hata Arumeru Mashariki alikuwa kampeni meneja lakini akachezea za uso. Sasa kwa Laigwanaan ataweza wapi?
Kampeni zinaanza lini?
Ndg zangu wanaukawa kuna tetesi kuwa Mwigulu ameteuliwa kuwa kampeni meneja wa magufuli,
Trust me nimeogopa,nimeshtuka na kutetemeka,Mwigulu alifanikiwa sana kuizima chadema kwa mipango yake na mbinu tofauti mpaka kupelekea makamu wa bavicha taifa kuhama,vijana machachari wakahama,
Ikumbukwe pia mwigulu ndie mastermind wa mgogoro wa zzk,arfi cdm
Mwigulu ni bingwa wa kubuni strategies za kila namna.trust me huyu akiungana na kitengo sijui pakutokea ni wapi.
My take kwa team yetu ya ukawa tuweke mipango vema na kujizatiti vema
§
§Bwasheeee