Brazameni heshima mbele. Leo siku ya furaha na sio karaha jameni.
Wakuu,
Kwa kweli initiatives za amani hizi zimekuwa toka pembe nyingi tu. Wacha tuseme kwamba kila yakhee amechangia kwa kiasi fulani. Wakiwemo: Raila, ODM, Kibaki, PNU, EU, AU, UK, UA na pia Ujerumani kibinafsi kama nchi...