Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
Naomba nafasi ili niwapongezeni Watanzania wote popote mulipo duniani.
1. Hongera kwa kuweza kutuonyesha ukomavu wa siasa zenu baada ya presha ya wananchi kumtimua Lowassa na wengineo waliohusika kwenye the Richmond Scandal.
2. Kwa Rais wenu stadi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kuteuliwa kama the first East African president of the African Union.
3. Wakati sisi huku kenya tunazidi kuzorota nyie mnatuonyesha njia.
Kifupi: I am proud of Tanzania!