Recent content by kenji pressident

  1. K

    JamiiForums Tanzania msaada samsung grand prime

    Nina simsung nikiweka charge hata ikae masaa kumi haingizi charge na cjui kwa nn
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Suzanne Kiwanga mbunge wa Jimbo la Mlimba, umeme utawashwa lini vijiji vilivyobaki?

    Uyu ndio mbunge anae tetea maslai ya watuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania KISA CHA KWELI, USHAURI WENU

    Kila mtu hapo ashike za kwake asepe yan
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Mambo ya kalenda hayoo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makonda kukaa mbali na media ni kwamba anazeeka au ndo anakomaa kiutawala?

    me cna neno may be kazi nying mheshimiwaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Mwananguu umefulah hatarii
  7. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Mbona wapo wengi tyuu sasa cjajua wwvunaktaka mwanaume mbabe au
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi mbovu, hali za maisha mbaya; Huku Magufuli anapendwa hakuna mfano

    Mmmmh hapana aisee me najua kuwa anang'ata na kupuliZa like rate
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

    Its fact
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakikisha kila mtanzania anapata kitambulisho cha Taifa

    Ni vizuri saana kama taifa limeamua kwa kila mwananch atapata kitambulisho cha taifa aiseee
  11. K

    JamiiForums Tanzania Madege

    Hivi ni madende au madenge anaitwaa jamaanii
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

    Ni kwelu rais angeiwekea kipaumbele kuwaaga hao jwtz mana wamekufa kwa kutetea maslai ya wananchi inabidi aache kazi zake zote na kwenda kuwaaga sasa ukitokea uzinduzi was viwanda au barabara, madaraaja razima hapo angeenda mda mwingine awe anaangalia na mbelee bhnaa
Back
Top Bottom