Recent content by kemchooh

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Sasa ndugu kama cv inakushinda kuiandaa huko kwenye kazi za watu si ndo utaharibu...cv na cover letter nayo ni sehem ya kuchuja katika swala la interview..ndio maana hata kwenye ajira portal ukikosea/usipoweka cv,cover letter au ukikosea address unaachwa na sababu unapewa..ukisema waangalie GPA...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi interview kwa mara ya kwanza

    Kuna smart watch,hizi zina hadi internet so you can google, pia zinakuwa connected na simu so unaweza soma na kujibu texts kupitia hiyo saa..wanahofia unaweza mtumia mtu alie nje maswali then akakusaidia kujibu..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: Banking & Finance Experience : 10 years Education level : Degree Location (currently ): Singida
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba muongozo wa Interview TRA

    Hii possible yako imetoka leo kwenye custom officer ll..
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TRA

    Shukrani sana ngoja niwapigie Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TRA

    Nilituma hii changamoto ya kushindwa ku apply katika system ya utumishi sehem ya feedback, Leo nimejaribu imekubali...sasa sijui walifanyia kazi au ni system faults tu ilikuwa japo ilinigomea kitambo kidogo...ila sehem ya academic qualifications ndo bado hakuna optin ya DELETE iliyopo ni ku view...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TRA

    Hata mimi inagoma na kila kitu kipo sawa...last time ilikubali vzr tu...ila hizi kazi za jana imegoma na sijafanya changes zozote....au wameset gpa kubwa nn ndo mana inatema tu[emoji26] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kama naweza kutumia transcript kuomba kazi ya ualimu maana vyeti bado havijatoka

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    imebidi nicheke...ni vizuri wajiridhishe kwakweli
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Hivyo vya ushoga wanapimaje kiongozi?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Kwenye afya wanapima vipimo gani haswa?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi acheni mambo ya kishamba

    Kwakweli...watoe majibu...watu hatuli tukashiba kisa wao?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Call for interview Erolink

    bonge halafu anasura nzitoo uji wa dengu unasubiri
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nataka kujua gharama za kulitoa gari bandari ya Dar es salaam lililoagizwa nje(japan) lenye price ya USD2996 na sifa nyingine kama hizo hapo:- Gari ni mark2 Gx 110 ya 2004 engine CC2000 mileage 55,800
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Shukrani sana....Nasubiria
Back
Top Bottom