hivi yule Dada customer care mwenye nyodo pale erolink masaki bado yupo
yupo hata mimi alinikwaza sana si yule bonge.
Hii kampuni nilisikia imefungwa kipindi fulan kwani imerudi tena!? Mana ofisin tulikua na watu wao na sasa wako chini ya kampun ingine si erolink tena..
Hao jamaa huwa wanaita tu kufanya interview na mara nyingi si kwamba kazi zinakuwepo moja kwa moja, unaenda na kufanya writen interview, ukishinda unaweza kaa hata miezi 3 au zaidi tena ukaitwa na kufanywa oral ukishinda unaweza kaa hata miezi 6 tena au zaidi ndo ukajaitwa kwa kazi, huwa wanawaweka reserve hadi voda wawe na uhitaji wa watu. Nenda kafanye kila lakheri.
NB: Pia unaweza ukafanya na moja kwa moja ukaingia kazini.