Wale wa TRA mkeka upo hewani

Wale wa TRA mkeka upo hewani

In the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.

Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.

Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?

Haingii akilini hata kidogo.
Ingekuwa hivyo makazini wote wangekuwa wenye first class tu. Lakini naona inategemea na kada ya mtu. Kuna mtu ana lower second lakini ana experience ya kutosha na kazi husika au certifications kibao huyo nae unamuachaje?!
 
Kuna watu nawafahamu, mmoja ana GPA 4 na mwingine 3 walienda usahili wa mchujo utumishi. Mwenye 4 akachezea za uso ila mwenzake akatoboa hadi oral na kupata kazi HESLB.

GPA ina apply sana kwenye kazi ukufunzi vyuoni au kwenye taasisi za utafiti.

Ingekuwa ni kazi hizo mbili, huyo mwenye 3 asingeitwa hata kwenye usahili. Na yamkini angeitwa angeweza hata kum buruza huyo mwenye 4. Wakati mwingine chuo watu hukariri na inapokuja kwenye uhalisia (practical) ni tofauti
 
Wewe ni popoma

Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishahapo hakuna jinsi ya kujusaidia kufikiri zaidi.

Badala ya kujadili kwa hoja unafanya personal attacks na matusi

I am Psycholigically matured enough siwezi kujali akili finyu kama yako.

Sasa sana sana Nabaki kukuhurumia wewe na wazazi wako.
 
BOSS UNAWEZA KUWA NA GPA KUBWA ILA HUWEZI KUANDAA CV YAKO, AU BARUA UMEANDIKA UNAVYOJUA WEWE, AU UME APPLY KITU KILICHOKUWA NA SIFA YA ZIADA MFANO BOARD NA WEWE HUNA, AU USIKUTE HATA ADDRESS ULIANDIKA YA UTUMISHI AU HUKUANDIKA KABISA, KWA KUANZIA LETE ATTACHMENT YA CV YAKO NA BARUA,

PIA GPA KUBWA SIO AKILI BABU, WANGAPI TUNAWAONA NA GPA KUBWA NA KICHWANI 0??? UNGEKUWA NA AKILI UNGEANGALIA WAPI ULIPOKOSEA KWANZA THN UNGEKUJA NA MAJIBU...YANI HAUWEZI UKAACHWA WITH NO REASON KUNA SABABU NA HUTAKI KUSEMA.... UMEAMBIWA KAMA HUJARIDHIKA NENDA OFFICE ILIYO KARIBU YA TRA WW UNAKUJA FORUM. ALAFU UNAJIITA UNA GPA KUBWA ...SHEIKH KUNA VYUO VYA UCHOCHORONI WATU WANA GPA HADI YA 5 .WEWE UNASEMA 4 KUBWA?

Mkuu samahani, hivi kumbe wamesema mtu asiyeridhika aende ofisi ya karibu?
 
Hata hivyo inabidi wawe wanatafakali kwa kina na kuona iwapo hiyo CV ina umuhimu kiasi gani au la,

Mtu unaenda kumfanyia usaili hapo mwanzoni hiyo cv inakuwa na umuhimu kiasi gani Kwa mfano?

Muhimu ni matokeo ya chuo na jinsi atakavyojibu maswali ya usaili ,

Ndivyo vipimo vikubwa muhimu vya kuona atafanya kazi vizuri au la.

Eti kukosea kujaza cv ?!

Yaani unamkosesha mtu nafasi ya kwenda kutetea maisha yake sababu ya kukosea kujaza CV?

Hawa jamaa bana duuh.
Sasa ndugu kama cv inakushinda kuiandaa huko kwenye kazi za watu si ndo utaharibu...cv na cover letter nayo ni sehem ya kuchuja katika swala la interview..ndio maana hata kwenye ajira portal ukikosea/usipoweka cv,cover letter au ukikosea address unaachwa na sababu unapewa..ukisema waangalie GPA kubwa tu na hawa wenye gpa ndogo waende wapi?kikubwa uwe na cheti tu then swala la ajira ni ushindani mwingine, gpa ni huko chuo tu..
 
Ingekuwa GPA kubwa ndio Akili , Kashindwa Andika Hata Cover letter 😄,Mbona wenzie wameitwa
 
Mm mwenyewe nimeachwa mkuu, wakati nilikuwa naomba kule utumishi wakitoa ajira na vyeti na taarifa zile zile zinazo tambuliwa na hii serikali lakin sikupata nafasi, sasa utumishi ni serikali ipi na huku TRA ni serikali ipi mpaka sasa, maana hawa watu wana fanya mzaha sana naona.
Watu wengiiii hvyo vigezo vyako watu zaidi 200 wanavyo mliopata kajaribuni bahati tuliokosa tuombe mungu next time ww unafikiri kila alieomba achukuliwee hyo interview siitakuwa mwezi mzima
 
Watu wengiiii hvyo vigezo vyako watu zaidi 200 wanavyo mliopata kajaribuni bahati tuliokosa tuombe mungu next time ww unafikiri kila alieomba achukuliwee hyo interview siitakuwa mwezi mzima
Ni kweli mkuu acha tukubali matokeo tu kwa sasa.
 
Never give up brother mpk kieleweke zikitoka tena tusichoke mimi mwenyewe nimekosa na qualification zote nnazo hila ule mkeka ulivyo na nyomi 6000+ halafu sipo nimeona sio wakati wangu
Ni kweli ila wangesema basi mtu hukuitwa interview kwasababu hii na hii, lakin kukaa kimya na watu hatuelewi tulipo kosea kwenye kwenye maombi ya kazi zao ni kutunyima haki za msingi ili hali tunaona watu wameitwa kama tulivyo omba sisi.
 
Yaaani mtu ako na first class GPA ya 4 unamuacha kwenye shortlisted?

Hii haikubaliki.
 
Competency na integrity ya walofanya shortlisting iko questionable?!

In the first place unamuachaje alopata first class GPA ya 4 na kumuweka mwenye lower kwa mfano?
 
Competency na integrity ya walofanya shortlisting iko questionable?!

In the first place unamuachaje alopata first class GPA ya 4 na kumuweka mwenye lower kwa mfano?
first class haimfanyi mtu kupewa priority kubwa ya kuchaguliwa kufanya interview jomba
maboss siku iz wanaangalia san CV na barua
punguza lawama
 
Kuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted

Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,

Hii inaingiaje akilini?
kuna watu wana added advantage, pamoja na kuwa na lower second unakuta mtu kuna sehemu aliwahi kufanya kazi, hivyo ana experience au kuna ujuzi mwingine anao zaidi ya hiyo ya GPA darasani>
 
Competency na integrity ya walofanya shortlisting iko questionable?!

In the first place unamuachaje alopata first class GPA ya 4 na kumuweka mwenye lower kwa mfano?
Kuna wenzio wana pass wameitwa.endelea kuwa na mentality hiyo ya kuwaza mambo ya GPA kwenye ajira.na ndio ushakatwa sasa
 
Back
Top Bottom