Nafasi za Kazi TRA

kemchooh

Member
Sep 2, 2014
34
95
Inaezekana mana nasikiaga huku sehemu wanazingatia sana GPA,tuanzie hapa kwanza tutajua tu ,kuna mtu system imemkatalia kupply na ana GPA ya kuanzia upper second?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilituma hii changamoto ya kushindwa ku apply katika system ya utumishi sehem ya feedback,
Leo nimejaribu imekubali...sasa sijui walifanyia kazi au ni system faults tu ilikuwa japo ilinigomea kitambo kidogo...ila sehem ya academic qualifications ndo bado hakuna optin ya DELETE iliyopo ni ku view na edit only.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GMbayuwayu

Member
Nov 7, 2012
12
45

Ni kweli hiyo sehemu ya Academic qualifications haina option ya kudelete,nilichofanya mimi niliwapigia kwenye namba zao huduma na wao wakanisadia kudelete.
Unawapata kwa namba 0735398259 na 0784398259

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oct 13, 2019
8
45
Naomba nifahamishwe namna ya kuapply au kama kuna email yeyote ya kutuma maombi tafadhali

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Top Bottom