Utumishi acheni mambo ya kishamba

Yaani watu tunastress asee, hapa ndo utaona umuhimu wa upinzani sometime katika inshu kama hizi anatakiwa mtu kama Godbless Lema anaongea kwa kuitilia mashaka wizara ili kushinikiza wajibu tujue kinachoendelea bhana
 
Dogo Mbona Unatutukana Sisi hatuwahi wala hatukawii.
IMG-20171016-WA0009.jpg
 
watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
Hahaaaaa.... In fact Kila mtu yuko anxious.....ni bora wakatoa tuu Jomoni...
 
watu tuna mambo yetu mengi ya kufanya,toeni hayo majina ya wateule wenu ijulikane.sio kila siku kukaa kuwazia kitu kimoja tu.
Hatupangiwi kazi unasikia......na tungejua ID yako Halisi tungekata jina lako(kama ungekuwa umepita)
 
Back
Top Bottom