Recent content by kelvin dastan

  1. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Safina ya Nuhu ilitua juu ya Mlima Kilimanjaro

    Ata serikali yetu inajua siri kubwa sana ila wanaifisha angalau marehemu MAGUFULI alitulambisha kidgo
  2. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Huu ndo ukweli, Mungu peke yake ndio anayejua si binadam

    Ukitaka majibu soma Quran
  3. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Samsung s6 imenigomea

    Ok.ipo iv kama ulikua unatumia pin or pattern before kabla ya kuweka iyo fingerprint kumbuka kua utaweza kuweka iyo fingerprint lakini kwenye kufungua lazima itaambatishwa na pin or pattern yani simu yako itataka pin or pattern before ya fingerprint hau simu yko itataka fingerprint then pin or...
  4. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Samsung s6 imenigomea

    Kumbuka vizuri maana uwezi kuifunga kwa fingerprints bila. Password or pin or pattern. Maana mimi mwenyewe natumia SAMSUNG A30S ilikua ivyo hivyo Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  5. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Sema wanachelewa kukulipa hao. Oooohhh[emoji3166][emoji3166] Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  6. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

    Fungeni track. oooohh !!kama wenzenu south Africa ata kama imeibiwa inaonyesha gari ipo wp na ata kama wakitoa betri bado inaonyesha labda waifumanie iyo track sawa lakini bila ivyo. Gari yko unaipata2 ila tatizo moja2 serikali yetu ipo nyuma kidogo kwenye mambo ya technology maana iyo track...
  7. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Shuleni walikupa jina gani la utani na kwasababu gani?

    Mimi nilipewa jina la mchongoma maana kila hesabu ilikua aipigi chenga kwangu Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  8. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

    Za shetani. ata fuata shetani mwenzake Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  9. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

    Umetembea vizuri sana..any way matapishi ayaludi kinywani kazi kwako
  10. kelvin dastan

    JamiiForums Tanzania Kwanini inatumika nguvu nyingi kumvika Rais Samia sifa na vilemba vya ukoka?

    CCM itauliwa na wana CCM wenyewe..kila jambo linamwisho wake. [emoji3166][emoji3166]
Back
Top Bottom