Wakinga acheni fujo Kariakoo kila ghorofa la " mkinga fulani" hakika Tuntemeke Sanga hakukosea kuiasisi Chadema ya Mabepari

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,200
2,000
Si wangeisha wote.au misiba Ingekuwa daily
Wanaumia kuona wengine wanakuja juu. Wanadhani wao wenyewe ndio Wana akili. Wakijua kila siku ni jumapili. Walisingizia kwao wamesoma ndo Mana wamejazana.serikalini hakupewa wizara hata moja wakamaindi Mana walidhani ni wao watasoma milele
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
5. Wamatengo wa Mbinga nao kwenye biashara wako vizuri japo wao kwa wao hawapendani lakini kwa eneo lao kielimu na kibiashara wanafanyanya vyema ni wapambanaji kweli sio utani na wana uaminifu hawana ujanjaujanja watu wasio waaminifu ni wandendeule kwa mkoa wa ruvuma wale kiswahili kingi lakini hawana uaminifu
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,200
2,000
Hahaahaa aisee unawachukia sana wachaga !!!! Pambana mzeee chuki zinazidi kukuzidishia ufukara!!! Achana na wachaga huwawezi jiwe kajaribu kachemka kadedi!!! Wachaga hawana utajiri wa kufuga misukule!!! Nenda Uganda ,malawi,Kenya, uingereza,botswana uwane!!! Jifunze kutoka kwao
Wewe uko jamii forum lakini
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,239
2,000
Zamani Kariakoo ilikuwa ya Wapemba na Wamanyema na Manzese ilikuwa ya Wachagga lakini sasa mambo yamebadilika huko kote wamejaa Wakinga watupu na maghorofa yao.

Kiukweli mnamuenzi vema mmoja wa waasisi wa Chadema mzee Tuntemeke Sanga RIP ambaye miaka yote aliishi hotelini pale Motel Agip jirani Azania Front posta.

Mapembelo wakinga wote!
Jo umejawa na upuuzi mwingi sana ujue.. Yaani bila kuitaja CHADEMA huoni raha kabisa
 
smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
2,658
2,000
Utakuwa unazungumzia Ipogolo wewe!
sizungumzii ipogoro, nazungumzia mitaa yenu ya town jirani na stendi ya zamani mpaka mitaa inayozunguka uwanja wa mpira wa samora.

hii mitaa ukingia usiku kuanzia saa tano, unaikuta ipo doro sana.

nikiwa katika safarini zangu za iringa, hii ndio mitaa ambayo huwa nafikia.

na kwa taarifa yako, mda huu nikiwa type comment hii, nipo hapa ccm napata kitimoto na windhoek kadhaa za kulalia.

IMG_20211018_205019.jpg
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
6,418
2,000
Hasa hawa akina Sanga, kila ghorofa utasikia la Sanga, ukiuliza anafanya biashara gani, unaambiwa eti anauza miamvuli ya mvua...., daah

Wala hata usishangae wale wanaenda na msimu unaona mkinga pale kwenye mavuno ambapo mbolea haihitajiki ndio muda ananunua mbolea anaweka mkianza kilimo ndio anauza sasa wakati yeye alinunua 60 elfu awamu hii wamepiga laki hadi laki na elfu kumi mfuko super profit hiyo, miavuli anaagiza au anainunua kipindi mvua haijaanza ambapo inakua chini kibiashara hasa bei ya jumla anaweka stock ya miavuli, ganboot, na makoti ya nylon then mvua ikianza anatoa stock yake hapo mkiwa na uhitaji anapiga faida kubwa, au kipindi mnalima yeye anaenda himo kiwandani kuweka oda ya magunia tani nyingi hivo wkati huo ananunua gunia nyingi sana kipindi hicho bei wanamshushia maana zinakua hazina uhitaji sana anaweka stock mkianza mavuno gunia na kamba kudu anauza yeye kwa bei ya mara mbili faida huku anakiduka cha kuzugia kusogeza muda ndio siri ya wakinga wala sio uchawi.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
26,440

Daah, umenifundisha kitu flani kikubwa sana, hujui tu, huo ni zaidi ya uchawi. Halafu kwanini sikuwaza hili jambo before, damn!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,851
2,000
sizungumzii ipogoro, nazungumzia mitaa yenu ya town jirani na stendi ya zamani mpaka mitaa inayozunguka uwanja wa mpira wa samora.

hii mitaa ukingia usiku kuanzia saa tano, unaikuta ipo doro sana.

nikiwa katika safarini zangu za iringa, hii ndio mitaa ambayo huwa nafikia.

na kwa taarifa yako, mda huu nikiwa type comment hii, nipo hapa ccm napata kitimoto na windhoek kadhaa za kulalia.

View attachment 1979033
Karibu kihesa bwashee!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,851
2,000
Wala hata usishangae wale wanaenda na msimu unaona mkinga pale kwenye mavuno ambapo mbolea haihitajiki ndio muda ananunua mbolea anaweka mkianza kilimo ndio anauza sasa wakati yeye alinunua 60 elfu awamu hii wamepiga laki hadi laki na elfu kumi mfuko super profit hiyo, miavuli anaagiza au anainunua kipindi mvua haijaanza ambapo inakua chini kibiashara hasa bei ya jumla anaweka stock ya miavuli, ganboot, na makoti ya nylon then mvua ikianza anatoa stock yake hapo mkiwa na uhitaji anapiga faida kubwa, au kipindi mnalima yeye anaenda himo kiwandani kuweka oda ya magunia tani nyingi hivo wkati huo ananunua gunia nyingi sana kipindi hicho bei wanamshushia maana zinakua hazina uhitaji sana anaweka stock mkianza mavuno gunia na kamba kudu anauza yeye kwa bei ya mara mbili faida huku anakiduka cha kuzugia kusogeza muda ndio siri ya wakinga wala sio uchawi.
Mwakipande anahusika sana kwenye utajiri wa wakinga!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,851
2,000
Na wewe unamchukulia serious Jo, kwa nini asiwataje akina Bob makhani, Eddy Mtei, aje kumtaja mtu aliewekwa detention na mwalimu kua muasisi ambae alianza kuupenda upinzani alipokaribia kufa
Mtei, Ngaiza, Shanga, Bob Makani walikuwa wanaenda Motel Agip kwa Tuntemeke Sanga kupanga mikakati ya kuasisi Chadema.

Ndesa ndio alimnyoosha mkinga mmoja na kuondoka na mkoba wa hela so Tuntemeke Sanga alikuwa anammind sana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom