Cotton pamba
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 303
- 212
U
Uko sahihi mkuu, ila kile kipindi cha mpito ndio wengi tunalia nacho apa!!Hivi haya maisha za namna hii ni kweli yapo au ni ya kusadikika? Mimi nikikutapika nimekutapika hata kama nilikupendaj kwa kuwa naamini destiny yangu is not tied to any human being but God alone.. Then nina dharau ukishanikataa na mm najiambia sina Haja nae pia.


