Huu ndo ukweli, Mungu peke yake ndio anayejua si binadam

Amani iwe nanyi wana wa Mungu

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa, naamini hata we ulipo uko mzima wa afya na mwenye nguvu.

Bibilia imeandikwa Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia, na baada ya kumaliza kuumba mbingu, Mungu akahamishia makao yake mbinguni ambapo ndiko kiti cha enzi kilipo na duniani ni pahala pa kuweka miguu yake,

Je kabla Mungu hajaumba hiyo Mbingu Mungu huyu alikiwa akiishi wapi?

Mbingu inayosimuliwa ktk misahafu haijawahi kuonekana machoni kwa binadam yeyote, pamoja na kwamba watafiti wa mambo ya anga kutengeneza darubini nzur za kisasa ambavyo huwawezesha kuona umbali wa matrilion ya maili angani, lkn hawajaweza kukutana na ukuta unaozuia wasiendelee kuona mbele ambao ni ukuta wa mbingu,

Pamoja na umakini wa hali ya juu unofanywa na watafiti hawa wa anga naamini km mbingu ingalikiwepo wasingekosa kutoa taarifa za kuwapo kwake.

Km kwel kuna mbingu, basi ni Mungu peke yake ndo anajua pahala ilipo na si binadam! Maana hakuna aliyewahi kwenda huko na kurudi akaleta habari za uwepo wake.

Hadaa hii imedumaza bongo za watu wengi na kusababisha binadam aendelee kuishi kwa kutegemea mawazo duni ya waliotuletea uvumi huu.

Na rudia tena, km mbingu IPO ni Mungu pekee tu ndiye anajua pahala gani IPO na si mwanadam, tuache kuhadaana.
Kasome philosophy (metaphysics) origin of the universe ukimaliza kasome theology itakueleza kabisa kisha malizia na biblia maana biblia inasema kabla ya kuimbwa ulimwengu roho ya Mungu ilikuwa ikielea juu ya maji.

Mungu ni roho, hafi, hazeeki, hahisi njaa, haugui na wala habadiriki ila matamanio yako unapenda Mungu awe na vitu vyote hapo juu ili umuone kwa macho, siku unamuona kwa macho tafsiri yake utakufa na siyo kifo tu kinakufanya umuone Mungu bali pia umekufa katika hali gani?

Biblia huwa inasema mpumbavu hujisemea moyoni hakuna Mungu..! Akili za Mungu hazichunguziki na hekima/elimu/uelewa wa/ya mwanadamu kama wewe haufai ata kuwa upumbafu wa Mungu kasema mt.Paulo.
 
Sisi wana wadunia...! "natuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi..! Na wasio mwamini Yesu mwokozi wamuamini ili waokoke..!"
Wakosefu ni akina nani? Na wanapatikana wapi?

Walau ungenambia kwamba nikitaka kufikia maisha bora nifuate falsafa za Yesu ningekuelewa kuliko hizo ngonjera
 
Amani iwe nanyi wana wa Mungu

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa, naamini hata we ulipo uko mzima wa afya na mwenye nguvu.

Bibilia imeandikwa Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia, na baada ya kumaliza kuumba mbingu, Mungu akahamishia makao yake mbinguni ambapo ndiko kiti cha enzi kilipo na duniani ni pahala pa kuweka miguu yake,

Je kabla Mungu hajaumba hiyo Mbingu Mungu huyu alikiwa akiishi wapi?

Mbingu inayosimuliwa ktk misahafu haijawahi kuonekana machoni kwa binadam yeyote, pamoja na kwamba watafiti wa mambo ya anga kutengeneza darubini nzur za kisasa ambavyo huwawezesha kuona umbali wa matrilion ya maili angani, lkn hawajaweza kukutana na ukuta unaozuia wasiendelee kuona mbele ambao ni ukuta wa mbingu,

Pamoja na umakini wa hali ya juu unofanywa na watafiti hawa wa anga naamini km mbingu ingalikiwepo wasingekosa kutoa taarifa za kuwapo kwake.

Km kwel kuna mbingu, basi ni Mungu peke yake ndo anajua pahala ilipo na si binadam! Maana hakuna aliyewahi kwenda huko na kurudi akaleta habari za uwepo wake.

Hadaa hii imedumaza bongo za watu wengi na kusababisha binadam aendelee kuishi kwa kutegemea mawazo duni ya waliotuletea uvumi huu.

Na rudia tena, km mbingu IPO ni Mungu pekee tu ndiye anajua pahala gani IPO na si mwanadam, tuache kuhadaana.
Macho ya binadamu pamoja na akili vimefumbwa, kuhoji mamlaka ya Mungu kwa namna yoyote ile ni dalili ya mwanadamu kukengeuka, kumtumikia shetani, shetani anaweza kujaribu kuwafanya wanadamu wahoji uwepo wa Mungu tena kwa hoja dhaifu
 
Kama ipo ukitaka kuona si rahisi! Omba ufe ili roho ipate kuona ukweli. Mbinguni ni mahali popote unavyoambiwa Mungu yupo mahali popote, tatizo miili yetu inazuia kuona mambo. Utaniuliza roho ni nini! Ni fumbo, au kinachokuwezesha kupumua
 
swali langu ,
kwanini amfiche mwaye?
au hatupendi?
hivi unaweza kuwa na mtoto alafu usimonyeshe nyumbani?
au sisi ni watoto wa kambo katutelekeza, wazungu ndo wana wake wapendwa? maana wao kila kitu kwao kiko sawa.
Ukifa utajua kila kitu
 
Amani iwe nanyi wana wa Mungu

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima na afya tele aliyonipa, naamini hata we ulipo uko mzima wa afya na mwenye nguvu.

Bibilia imeandikwa Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia, na baada ya kumaliza kuumba mbingu, Mungu akahamishia makao yake mbinguni ambapo ndiko kiti cha enzi kilipo na duniani ni pahala pa kuweka miguu yake,

Je kabla Mungu hajaumba hiyo Mbingu Mungu huyu alikiwa akiishi wapi?

Mbingu inayosimuliwa ktk misahafu haijawahi kuonekana machoni kwa binadam yeyote, pamoja na kwamba watafiti wa mambo ya anga kutengeneza darubini nzur za kisasa ambavyo huwawezesha kuona umbali wa matrilion ya maili angani, lkn hawajaweza kukutana na ukuta unaozuia wasiendelee kuona mbele ambao ni ukuta wa mbingu,

Pamoja na umakini wa hali ya juu unofanywa na watafiti hawa wa anga naamini km mbingu ingalikiwepo wasingekosa kutoa taarifa za kuwapo kwake.

Km kwel kuna mbingu, basi ni Mungu peke yake ndo anajua pahala ilipo na si binadam! Maana hakuna aliyewahi kwenda huko na kurudi akaleta habari za uwepo wake.

Hadaa hii imedumaza bongo za watu wengi na kusababisha binadam aendelee kuishi kwa kutegemea mawazo duni ya waliotuletea uvumi huu.

Na rudia tena, km mbingu IPO ni Mungu pekee tu ndiye anajua pahala gani IPO na si mwanadam, tuache kuhadaana.
Ni kwamba mwalimu wako wa dini ameshindwa kukueleza ukaelewa au hujamtafuta kabisa?Haya maswali ni superficial sana mzee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom