Recent content by kekuwetu

  1. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    Hao mlio wapanga arusha, watafutieni sehemu zingine, arusha tumeizika ccm muda mrefu na matanga tumesha maliza.
  2. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Chadema Arusha amjeruhi vibaya askari mwanamke

    Hiyo taarifa ya kuwapiga watu mara kwa mara tunaisikia kwako, wakazi wa ngarenaro tunampenda na kumuamini diwani wetu Doitha. Kama alikuwa amelewa chakari aliweza vipi mpiga polisi mwenye mafunzo? Huyu Diwani ni mwepesi sana kuwasaidia wananchi bila uwoga nafikiri hiyo Tabia yake ya uchapakazi...
  3. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Mbona Mungu akuwasamehe maadui wa Israel Bali aliwapa msaada Israel wa kuangamiza maadui zao, mbona akuwaambia wakeshe wakiwaombea maadui? Kuna wakati wa kuomba na kuna wakati wa kujitetea. Mimi naamini makonda, amesoma na ana vyeti vyote vya halali, Ila kwa wale ambao hawaamini basi ajitokeze...
  4. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Hawajaitwa kuwa wachungaji, uchungaji ni wito si wote wameitwa. Wale watabaki kuwa wana siasa wito wao upo huko.
  5. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kwamba cheti chake ndio anatumia Makonda afunguka

    Alete cheti chake cha form four na makonda nae alete chake viakikiwe
  6. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Vizuri, anaitaji Maombi.
  7. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inanuka

    Mechekaàaaaaaaa, hapana aoge na maji mengi na afue nguo zote, akichamba hatatakata.
  8. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inanuka

    Kona IPI anapongezwa? huku kwetu hiyo kona haijafika.
  9. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Mungu akutangulie mbunge wetu.
  10. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kuna waumini 12 walipanga kunitupia majini

    Sijategemea kauli kama hii kutolewa na kiongozi, serikali haiamini uchawi, huo mtandao wake ni upi? Lazima ni mshirikina/mchawi.
  11. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Sifuatilii kabisa filamu za kichina
  12. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamdhalilisha Wema Sepetu

    Subiri acha haraka atakabidhiwa kadi na mwenyekiti pamoja na wafuasi wake.
  13. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Nafukua kaburi la biashara ya Freeman Mbowe, Nini asili yake?

    We mtoa mada kama umelala tu unategemea mshahara utumii akili kutafuta chanzo kingine cha halali kuongeza kipato chako lazima utashangazwa na mbowe. Naomba nijitolee mfano, nilikuwa msoma mita idara ya maji, baada ya kuona mshahara ni mdogo sana nikaanza kukaanga samaki jioni baada ya kazi...
  14. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Naamini makonda hajachakachua vyeti vyake, na kwa jinsi alivyo MTU wa Mungu ataonyesha mubashara vyeti vyake vyote vya toka darasa la saba mbele ya waandishi huku pembeni akiwa na baadhi ya waalimu wake wa secondary.
  15. kekuwetu

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya dawa za kulevya inapogeuka uchochoro wa kuwapa watu umaarufu

    udhubutu upi na wewe! umetoka usingizini nini? kuna madawa yaliyoripotiwa kukamatwa toka zoezi lenu lianze? muone ulivyokaa kishabiki eti nangoja orodha ya 3! hivi una akili wewe, waliotajwa wenyewe 90% hawajaripoti wewe bado unataka kutujazia watuhumiwa hewa.
Back
Top Bottom