Ni Nani hadi sasa amethibisha hao unaowaita Wauza Madawa ya Kulevya? Kumbuka Ni Mahakama pekee yenye uwezo wa kusema Fulani Ni Fisadi au Muuza Madawa ya Kulevya. Ni suala la Ushahidi kuweza kuithibitishia Mahakama.
Makonda kupongezwa? Kwani Ni vibaya wakimpongeza? Unataka kila mtu apongeze? Kwamba Makonda was perfect kwenye hii movie? Kama ambavyo kuna wanaompongeza nanyi mkafurahi, acheni mwingine wakosoe kwa yale wanayoyaona hayajakaa sawa.
Kuombewa Dua? Utakuwa mgeni hapa Duniani! Trump anaombewa Dua na baadhi ya Viongozi wa Dini huko kwao, similar to Mugabe, Jose Kabila, hata Idd Amin Dada, na wengine wengi wameshafanyiwa Dua sana. Sijui kwako special thing kwenye hiyo Dua Ni Nini?
Jambo jingine la kuelewa, Tanzania Daima linamilikiwa na Mbowe Company, sii CHADEMA, hili sii kama UHURU!
Mwisho kabisa, mtaji wa CCM Ni Illiterates. Since the Illiterates are the Majority in the Country, wengi wameamini kulikuwa na vita dhidi ya DAWA za Kulevya.
1. Hakuna vita ya dawa za Kulevya inayoendeshwa kipumbavu kama ilivyokuwa inaendeshwa na Makonda. Vita iliyokuwepo Ni vita dhidi ya Personalities za Watu. Weka rekodi juu ya hili. Kesi zote Serikali itashindwa na itadaiwa Fidia.
2. Vita iliyokuwepo Ni vita ya VISASI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA! Unatongoza unatoswa, kwakuwa wewe una Mamlaka Basi unaamua kukomoa.
3. Vita ya Madawa ya Kulevya haina double standards. Why TID, TUNDA, VANESSA, etc AND WHY NOT WEMA SEPETU? ALL OF THESE ARE VICTIMS , why double Standards?
Waziri Mkuu aliwatetea Watuhumiwa wasitajwe, Nape nae vilevile,Sianga nae vilevile, je! Hawa ni CDM?
NAKUSHAURI UKAJIPANGE UPYA.