Chadema wakikaa oficni vikao vya ndani mnawakamata,wakiwa hadharani mnawakamata,hamtaki c asa.ss kafanyia Haya kwao mmnasema ! Mlitaka yule mama akirudisha kadi ya ccm akiwa ofic za chadema mumkamate na kupekua ofic mkidai kapeleka unga wa mwanae kuficha oficni za Chadema? Kwenu jema lipi.Mara Wema co lolote,Mara hana athari,alipokua ccm mbona yote Haya hamkuyasema ? Jamani ccm mbona hamkaichini kutafakari mtakavyoitoa nchi hapo mlipo itosa,Mmebaki,kufikisha watu mahakamani kisa kamtaja raisi,/kaisema serikali,kamkosoa mtukufu sana.hamuoni Haya /aibu? Hizo ahadi za viwanda,elimu chee mtatimiza lini?mmejitosa kwe umbea na majungu yaliyowazidi kimo,hamjui mlianzia wapi,mshike lipi,mmebaki,mnahangaika huku na Kule !ya Chadema na wahamiaji wake cmuwaachie wenyewe? Mtafanya kazi ngapi,za ccm nyie za chadema nyie police nyie mahakama nyie c ndo maana mnarukwa wehu hamjui mnachofanya Mmebaki kukurupuka ktk kila jambo.bora hili lichama liuwawe tupumzike,