Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Kama Chadema inatetea wauza unga Na hao wauza unga wamepewa mtaji Na CCM
Hivi Tanzania daima limegeuka kuwa gazeti la kutetea wauza unga!!! Jamani CHADEMA mbona mi siwaelewi? Jamii ilikuwa imeshashawishika kuwa nyie ni wakeameaji wazuri wa ufisadi na mafisadi.
Makonda anapongezwa kila kona ya nchi na ni jana tu amefanyiwa dua maalumu kutoka kwa mashehe hapa wa Dar lakini gazeti hili linaponda jitihada anazofanyampaka kutaka aachane nazo.
Nimeshangaa sana title page yao kuandikwa eti Makonda ni hatari kisa anadili na madawa. Nimeshangaa sana
Cdm kwa sasa nikichaka cha waovu na Wachafu
Lowasaaaaa hasafishikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yuko chadema!
Zile gari mbili umezipataje??GSM ndiyo drug dealers wakubwa na bado wamekujengea majumba,magari ya bure na kurenovate nyumba yako Tuambie uhusiano wako na GSM
Majangili mnaweza hata kuwapangishia nyumba International drug Traffickers aka Masogange.
Tuambieni nani×( yupi nyuma)× ya Bilioni nane za Kivuko kibovu.hakuna msafi huko CCM wote ni wachafu ×[ nafuu chooni cha shimo]×
Ni Nani hadi sasa amethibisha hao unaowaita Wauza Madawa ya Kulevya? Kumbuka Ni Mahakama pekee yenye uwezo wa kusema Fulani Ni Fisadi au Muuza Madawa ya Kulevya. Ni suala la Ushahidi kuweza kuithibitishia Mahakama.
Makonda kupongezwa? Kwani Ni vibaya wakimpongeza? Unataka kila mtu apongeze? Kwamba Makonda was perfect kwenye hii movie? Kama ambavyo kuna wanaompongeza nanyi mkafurahi, acheni mwingine wakosoe kwa yale wanayoyaona hayajakaa sawa.
Kuombewa Dua? Utakuwa mgeni hapa Duniani! Trump anaombewa Dua na baadhi ya Viongozi wa Dini huko kwao, similar to Mugabe, Jose Kabila, hata Idd Amin Dada, na wengine wengi wameshafanyiwa Dua sana. Sijui kwako special thing kwenye hiyo Dua Ni Nini?
Jambo jingine la kuelewa, Tanzania Daima linamilikiwa na Mbowe Company, sii CHADEMA, hili sii kama UHURU!
Mwisho kabisa, mtaji wa CCM Ni Illiterates. Since the Illiterates are the Majority in the Country, wengi wameamini kulikuwa na vita dhidi ya DAWA za Kulevya.
1. Hakuna vita ya dawa za Kulevya inayoendeshwa kipumbavu kama ilivyokuwa inaendeshwa na Makonda. Vita iliyokuwepo Ni vita dhidi ya Personalities za Watu. Weka rekodi juu ya hili. Kesi zote Serikali itashindwa na itadaiwa Fidia.
2. Vita iliyokuwepo Ni vita ya VISASI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA! Unatongoza unatoswa, kwakuwa wewe una Mamlaka Basi unaamua kukomoa.
3. Vita ya Madawa ya Kulevya haina double standards. Why TID, TUNDA, VANESSA, etc AND WHY NOT WEMA SEPETU? ALL OF THESE ARE VICTIMS , why double Standards?
Waziri Mkuu aliwatetea Watuhumiwa wasitajwe, Nape nae vilevile,Sianga nae vilevile, je! Hawa ni CDM?
NAKUSHAURI UKAJIPANGE UPYA.
Usafi wa nyumba ya jirani ni nini. Si hadi ilikosa mtu ikabidi wampe mwendawazimu kijiti na kazi yake tunaiona. Taja mafanikio yake.Hivi Tanzania daima limegeuka kuwa gazeti la kutetea wauza unga!!! Jamani CHADEMA mbona mi siwaelewi? Jamii ilikuwa imeshashawishika kuwa nyie ni wakeameaji wazuri wa ufisadi na mafisadi.
Makonda anapongezwa kila kona ya nchi na ni jana tu amefanyiwa dua maalumu kutoka kwa mashehe hapa wa Dar lakini gazeti hili linaponda jitihada anazofanyampaka kutaka aachane nazo.
Nimeshangaa sana title page yao kuandikwa eti Makonda ni hatari kisa anadili na madawa. Nimeshangaa sana
Hivi unajua hata matumizi ya Alama ktk Ngonjera zako!!Anayesafishika ni yule aliyenunua kivuko kibovu kwa Bilioni nane??
×{Au.yule anayejengewa} nyumba na Majizi na drug dealers wa GSM mmeshajisafisha.
Mnaiba mpaka vyeti.
Ningeli shangaa umalize Ngonjera bila ya kuchanganya Viroba humo!!!
HATA MASHOGA KIMBILIO LAO NI CDM!!!
Usafi wa nyumba ya jirani ni nini. Si hadi ilikosa mtu ikabidi wampe mwendawazimu kijiti na kazi yake tunaiona. Taja mafanikio yake.
Hivi unajua hata matumizi ya Alama ktk Ngonjera zako!!
Ulisomea UDJ
unalazimisha Siasa!!!
Nilikua napitia thread yako,nikagundua "wewe ni mweusi kimawazo.."Hivi Tanzania daima limegeuka kuwa gazeti la kutetea wauza unga!!! Jamani CHADEMA mbona mi siwaelewi? Jamii ilikuwa imeshashawishika kuwa nyie ni wakeameaji wazuri wa ufisadi na mafisadi.
Makonda anapongezwa kila kona ya nchi na ni jana tu amefanyiwa dua maalumu kutoka kwa mashehe hapa wa Dar lakini gazeti hili linaponda jitihada anazofanyampaka kutaka aachane nazo.
Nimeshangaa sana title page yao kuandikwa eti Makonda ni hatari kisa anadili na madawa. Nimeshangaa sana
CHADEMA inanuka?? Inanuka CCM inayotengeneza watu wachafu,sisi tunawaungamisha na kuwasafisha hatuwezi kunuka,inanuka CCM inayokaa na watu waliooza miaka 20,wakisafishwa ndo inagundua kuwa walikuwa wachafu.CCM IMEOZA INANUKA.
mpaka hili watapinga