Recent content by Kekeza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Njoo tuyajenge usichelewe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo wa CCM: Watu Wanataka Katiba Mpya Kwa Maslahi Binafsi

    Lini Mchaga akawa siriaz na katiba mpya,yy mwambie shilling tu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nioe au nijenge kwanza?!

    Oa kwanza ndugu, Ili na ww uwe sawa na sisi kwenye hizi vurugumechi kama Alshabab tulizojitakia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe walikuwa wanaumia na hoja ya kombe la looser ilikuwa ni kujifariji tu

    Mimi sio shabiki wa Azizi Ki au Fei toto, ila niwe mkweli ukinipa Azizi Ki na Andazi mi nitachagua Andazi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Kwani jamani huu ni mchakato wa katiba ya Baa kwataa au
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Njooni Chakuhawata, buku tano tu Kwa mwezi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

    Twende na Dr Mpango kwenye urais 2030
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Karibu CHAKUHAWATA, Makato ni 5000 tu ewe Mwalimu,achana na wahuni CWT
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha Machozi ya Furaha Watumishi Wa Umma, Wasema Ni Mama Samia mpaka 2030

    Jina na namba ya simu ndio muhimu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

    Karibuni CHAKUHAWATA
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

    Kwani hata sisi CHADEMA tulikwambia tunahitaji katiba mpya, ile ni gia ya kupata buyu la asali ww
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden wa Marekani ni kizazi cha Ireland

    Hata mm Babu mzaa Babu ana asili ya South korea
  13. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaweza kukataza chochote Tanzania?

    Mradi ujumbe umefika
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Hapo anatoa ujumbe wa ukipata Nafasi we kula bila kunawa,hakuna atakayekusema
Back
Top Bottom