Recent content by keke

  1. K

    so sad!!!!!!!

    inasikitisha sana
  2. K

    Mchumba wangu huyo amependeza jamani?

    nimependa miguu,
  3. K

    Tatizo sijui ni nn??

    sio kama hana hisia, hisia anazo kama binadamu, ila hana hisia na wewe, hasisimuki kwako.
  4. K

    Tatizo sijui ni nn??

    hakutaki huyoooo
  5. K

    Kaka zetu kwishney tena hawa

    sasa hayo ni maandamano au ni nini?
  6. K

    tujifunze photoshop: TemboCard MockUP

    umejitahidi sana..
  7. K

    Nilichokitafuta nimekipata!!!!!!!!

    jamani wanaume si vzr kuwasema wanawake zenu kwa vimada, pole sana bibiye, kwa vile yeye kauchuna na wewe uchune usimuulize kitu siku akitaka kuyaongea yaongeeni ila natumaini utamsamehe kama atakiri ukosa na kutorudia kosa, next time usishike simu ya mumeo, iyone kama sumu ona sasa unajipa ma...
  8. K

    Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

    wewe unaonekana unapenda mteremkooo, tumekushtukia, kama unashida na huna kazi gari la nini??? uza gari upate ka mtaji uweze kuishi mjini kwa raha na sio kutafuta mteremko, utafika pabaya kama utaendelea hivyo, si bora wewe unalazwa sebuleni, wapo wenzako wanalala nje...
  9. K

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    K-CONNECTING PEOPLE..... nunua simu ili uzidi kuwa connected
  10. K

    Miss Tanzania 2012

    Miss Tanzania wako wengi, wewe unataka kujua wa mwaka gani?
  11. K

    Papaa Msofe kupandishwa kizimbani leo

    mmh hiyo sio kesi ya Papaa Msofe, ni kesi ya Mr. A.M... ila wote ni matapeli wakubwa sana hapa mjini
  12. K

    Women and Freemasons

    baadhi ya wake wa freemasons ni ma freemasons pia...
  13. K

    Mshaurini huyu superstar

    ubwabwa
  14. K

    Tujikumbushe: NANA wa Kaole Sanaa Group

    huyu dada alikuwa mzuri sana... nini kilicho msibu jamani? kaharibika sana mvuto wote umepotea.
  15. K

    DJ Fetty na Vogue!

    hata kama kahongwa au ni yake tatizo nini wajameni?
Back
Top Bottom