tujifunze photoshop: TemboCard MockUP

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
leo nimeona niwashirikishe wale ambao wanaanza kujifunza photoshop na hata wazoefu..
Card2.jpg

tutengeneze kadi ya benki mfano wa tembocard,

vifaa vinavyohitajika

1. photoshop CS+
2. picha (google images)
3. uzoefu kidogo

Utaalam

beginners+

tuanze:
kwanza tunahitaji picha ambayo tutatumia kama background
mimi nimeandika TEMBO kwenye google kisha nikachagua iliyonivutia

http://images5.fanpop.com/image/photos/28700000/Elephant-elephants-28788754-1024-768.jpg

pia unaweza kuandika Visa electronic na SimCard kupata logo ya visa na hicho kijitu cha sim card
http://forroxiquexique.files.wordpress.com/2012/07/visa_electron.gif

fungua photoshop File>new au ctrl+n kisha weka 1300px width na 822px

weka background yako
ScreenShot014.jpg

step inayofuata weka kidude cha simcard na hologram na visa kama nilivyoonesha
ScreenShot015.jpg

step inayofuata ni kuweka maneno, angalizia hapo kwenye screenshot chini
ScreenShot016.jpg
hakikisha kadi yako haina ncha pembeni, unaweza kutumia njia tofauti tofauti kutoa izo ncha...

inatakiwa mwisho itokee kama hivi
card1 .jpg

miandiko niliyotumia:

Tembocard logo: Arial Bold Italic
akaunti number: Halter
sehemu zilizo baki nimetumia Arial

ahsanteni
Card3.jpg
 
Thanks broda na mimi nimepata cha kuringishia ili wanione mkali kumbe skills za "kukopi" na "kupesti"
 
leo nimeona niwashirikishe wale ambao wanaanza kujifunza photoshop na hata wazoefu..
View attachment 63423

tutengeneze kadi ya benki mfano wa tembocard,

vifaa vinavyohitajika

1. photoshop CS+
2. picha (google images)
3. uzoefu kidogo

Utaalam

beginners+

tuanze:
kwanza tunahitaji picha ambayo tutatumia kama background
mimi nimeandika TEMBO kwenye google kisha nikachagua iliyonivutia

http://images5.fanpop.com/image/photos/28700000/Elephant-elephants-28788754-1024-768.jpg

pia unaweza kuandika Visa electronic na SimCard kupata logo ya visa na hicho kijitu cha sim card
http://forroxiquexique.files.wordpress.com/2012/07/visa_electron.gif

fungua photoshop File>new au ctrl+n kisha weka 1300px width na 822px

weka background yako
View attachment 63418

step inayofuata weka kidude cha simcard na hologram na visa kama nilivyoonesha
View attachment 63420

step inayofuata ni kuweka maneno, angalizia hapo kwenye screenshot chini
View attachment 63422
hakikisha kadi yako haina ncha pembeni, unaweza kutumia njia tofauti tofauti kutoa izo ncha...

inatakiwa mwisho itokee kama hivi
View attachment 63425

miandiko niliyotumia:

Tembocard logo: Arial Bold Italic
akaunti number: Halter
sehemu zilizo baki nimetumia Arial

ahsanteni
View attachment 63424

huz upo juuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
ecko mkuu!! nimependa kwamba umetengeneza from scratch. keep up the tutorial
 
"ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga"
Big up mkuu,hii imetulia sana.Na mambo mengine tukiwa tunashirikishana namna hii,basi sie wa ngumbaru tutabadilika sana.
 
C6 nna CS 5 cjui itafaa ngoja nijaribu naanza step by step nkimaliza na-upload
 
Last edited by a moderator:
Nzuri sana but my brain is not working properly 2day nitafatilia kesho. Afuu hiyo link ya photoshop CS+ niaje?
 
Back
Top Bottom