DJ Fetty na Vogue!

kama kweli basi huyo mwanaume ni mjinga wa kutupwa
kwa sababu miezi kama mitatu nyuma dj fetty alishawahi lalamika kwenye redio mbele ya kina mchomvu kwamba kuna mwanamme anamtaka na kamuahidi kumuhonga vogue na yeye fetty hamtaki na akampa kibuti kupitia redio kina mchomvu wakawa wanamtania chukua vogue chukua vogue leo hii mnasema anatoka na mwanaume mwenye vogue aaah ngoja nisikilize zangu bunge tu maana mmeshanichosha
 
:second: Je ni kweli Huyu Fatma Hassan(DJ Fetty) ! ndio yeye kwani tatizo nini aisee Fetty kumiliki mkoko kama huo
 
Hata akimiliki treni na reli yake,mimi kabwela inanisaidia nini,hebu tuwe busy na mambo ya maana bana aaaghh!!!*&%:;'*
 
usicheze karata coz wataomba 'mavi',uchumi mnao ila mnaukalia!!!!express your selfffffff!
 
Hata akimiliki treni na reli yake,mimi kabwela inanisaidia nini,hebu tuwe busy na mambo ya maana bana aaaghh!!!*&%:;'*

Me nawashangaa halafu hawa wote nafikiri hawajui mambo ya magari wakisikia vogue wanachetuka u na kufikiri ni gari la milioni mia.vogu za milioni nane zimetapakaa kila mahali na mikopo hi mtoto wa kike anashindwa nini kukopa anunue kama mshahara anao?Halafu nyie wanawake wenzangu mnajilaani na midomo yenu hiyo maneno ya kusema mwanamke aategemea uchi utabakia hivyohivyo na hutakuwa na uwezo wa kununua chako hata siku moja ukisubiri V ikuletee.shauri zenu
 
uwezo anao nguvu anazo pia nia alikua nayo jaribu kuangalia yenu kwani 'tigo' si hata nyie mnazo jaribu kuwa wastaarabu
 
Me nawashangaa halafu hawa wote nafikiri hawajui mambo ya magari wakisikia vogue wanachetuka u na kufikiri ni gari la milioni mia.vogu za milioni nane zimetapakaa kila mahali na mikopo hi mtoto wa kike anashindwa nini kukopa anunue kama mshahara anao?Halafu nyie wanawake wenzangu mnajilaani na midomo yenu hiyo maneno ya kusema mwanamke aategemea uchi utabakia hivyohivyo na hutakuwa na uwezo wa kununua chako hata siku moja ukisubiri V ikuletee.shauri zenu
Hapa unazungumzia Toyota Vitz Vogu au unazungumzia Range Rover Vogue?

Project Kahn press release: The Project Kahn Range Rover Vogue takes vehicle customisation to the next level. With more focus on the owner, the conversion consists of an outstanding new Kahn body kit complete with a sports exhaust system and colour code.
The interior is given the bespoke touch, with an exquisite piano black interior made to the exact requirements of the customer.
 
Kule dubai yanapatikana we lipa kwa kutoa salio la 0713, 0714,0719 au 0652 unalipata. We huoni majimama ya jijini DSM hayaishi kwenda Arabuni na kila akienda haipiti miezi mi3 kavuta Land cruiser VX, GX, V8 prado etc kule bhana yakhe wanapenda joto hilo weshazoeaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom