Kaka zetu kwishney tena hawa

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
376914_504002112961084_1374327833_n.jpg

558626_502239983137297_1350315201_n.jpg


Hawa kutakuwa tena na usalama kweli?
 
Hawa wanastahili bakora wananiudhi kwelikweli! kwanini wasitafute wanawake kwenye nafasi zenye uhusika wa kike?
 
Wanaume kuvaa nguo za kike si picha nzuri hata kidogo. Ukiona mwanamume ametamani na anavaa nguo ya kike ujue yuko tayari kwa lolote hata kutumiwa kama mwanamke!

Wanawake wanavaa nguo za kiume la lengo la kuonekana tofauti na kuwavutia wanaume ili wawatongoze na wapate huduma toka kwa wanawake. Sasa mwanaume anapovaa nguo za kike anatafuta nini??? kutongozwa???? je atatoa huduma za kike? NAPINGA WANAUME KUVAA NGUO ZA KIKE.

Ukiwa kama mzazi utajisikiaje kukuta Mwanao wa Kiume unayejivunia amevaa kike???? Ukikuta wa Kike kavaa kiume bila shaka haitakustua sana kwa kuwa suluali inastili mwili lakini kimini sket kwa dume! lol
 
bora at ahao wanaovaa ivo ukawajua..........kuna mamCHICHA MWIBA yamejaa everiwea yaan n zaidi ya unachokiona apo kwenye fikra zao..tupa kule
 
Hawa wanatokea nchi gani mbona sielewi wanjameni. Napata maudhi midume iliyojazia namna hii kuvaa vimini ni mashoga au kuna shindano la kuzimu?
 
Back
Top Bottom